Leo tarehe 1/1/2024
Nimenyoa dongo na kujiapiza kuwa sitanyoa nywele zangu
Napenda sana kuwa na Rasta lakini nimekuwa nikipata upinzani kutoka kwa mke wangu, ndugu na baadhi ya wanajamii hivo nikijikuta nanyoa tu mara kadhaa
Nikiwa na dread za miaka miwili upinzani huibuka
Sijui ndugu huwa mnawezaje huu upinzani mfano mke wako hapendi muonekane wako na kila siku analalamika tu
Mungu nisaidie nisije kupata wazo la kunyoa nisilipate tena
Anapenda hela zakeSasa kama Mke wako hapendi inawezekana Vipi?
Then tatizo lipo kwako, short your problem in human form badilika.
By the way rasta Kwa Bongo kama huna mpunga ni uchafu Tu, halafu usitegemee kazi za kuajiliwa unless Una ujuzi wa ziada.
Me sijaajiriwa MkuuBy the way rasta Kwa Bongo kama huna mpunga ni uchafu Tu, halafu usitegemee kazi za kuajiliwa unless Una ujuzi wa ziada.
Ufuge tu rasta ila uwe msafi
Kama lengo lako ni ubishi sawa, ila jamii ya Kitanzania rasta zimekubalika Kwa wanawake, lakini Kwa wanaume inabidi uwe independent.Me sijaajiriwa Mkuu
Rasta ni nywele kama mtu atakuwa anaajiri kwa kuangalia urefu wa nywele basi atakuwa hajielewi
Kuna watu wananyoa vipara lakini ufanisi kazini ni ovyo
Me siamin kwenye muonekano
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya 2006 kulikuwa na Mwalimu wa UDSM ana rasta.Kama lengo lako ni ubishi sawa, ila jamii ya Kitanzania rasta zimekubalika Kwa wanawake, lakini Kwa wanaume inabidi uwe independent.
Nioneshe Rasta mmoja tu kwenye ofisi za serikali Tanzania nakuwekea dau la million moja mezani.