T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,106
- 30,528
oophss! Umewrong vibaya sana mkuu...
Mtu anapokuangalia haimaanishi kuwa anakupenda au anakutaman.
Inaweza kuwa
. Anakushangaa jinsi ulivyo wa ajabu,
. Anakufananisha na kikaragosi kwajinsi ulivyojitia mkorogo,
. Anakudharau kwa ufinyu wa akili yako jinsi ambavyo hujiamin na uasili wako,
. Anakuangalia ili apate cha kuja kuwaonya wengne wasiwe kama aliyejipiga bandia
. Hayo na mengne mengi tu.
yaani huoni kabisa hayo mambo yana uhusiano wa moja kwa moja na sisi?? tukiwaacha hivyo wake wa kuoa tutawatoa wapi?
sijui kwa nini wenye kasoro kama hizo ndo tunawataka.
Hahaa mnatoa macho ya nini sasa kama hampendi
mimi hapana.