Sitashangaa wanawake wakifika huku

Tatizo wapo wanaowapenda wa hivyo ndio maana hawaachi...
 
Hahaa mnatoa macho ya nini sasa kama hampendi

Sio wote tunaangalia kwa kutaman wengine tunaangalia kwa kifu na dharau ya shombo. .me nkimshikaga kichwa mwanamke mwenye weaving sjui ndio wigi huwa mwili unahis umait
 
Hapo mimi nadhani wanaturahisishia kazi, akikuomba fedha unampaza bandia, akitaka zawadi unampa mkufu wa dhahabu wa bandia, pete ya ndoa ya bandia.
Kila atakachotaka unampa bandia isipokuwa Gari na Nyumba ndiyo unampa visivyo bandia, kwa kuwa havipatikani vya bandia.
 
Mkuu,
iyo tu mbona full feki..ipo!-
1. Macho fekiz
2. Miguu fekiz

3.Mwili fekiz

4. jina feki....
 
nyumba ya bandia ni ile ya kupanga na gari bandia ni zile za kukodi
 
Mnajidai hamtaki wakati akipita aliyevaa fekifeki mnamtolea mijicho

oophss! Umewrong vibaya sana mkuu...
Mtu anapokuangalia haimaanishi kuwa anakupenda au anakutaman.
Inaweza kuwa
. Anakushangaa jinsi ulivyo wa ajabu,
. Anakufananisha na kikaragosi kwajinsi ulivyojitia mkorogo,
. Anakudharau kwa ufinyu wa akili yako jinsi ambavyo hujiamin na uasili wako,
. Anakuangalia ili apate cha kuja kuwaonya wengne wasiwe kama aliyejipiga bandia
. Hayo na mengne mengi tu.
 
nyumba ya bandia ni ile ya kupanga na gari bandia ni zile za kukodi

Huwa wanataka kumiliki na kuvitumia watakavyo, hapo hatuwezi kukwepa, itabidi tu kuwanunuli kausafiri na kanyumba.
 
Sio wote tunaangalia kwa kutaman wengine tunaangalia kwa kifu na dharau ya shombo. .me nkimshikaga kichwa mwanamke mwenye weaving sjui ndio wigi huwa mwili unahis umait

mkuu upo kama mimi, mwanamke mwenye wigi namuona kama mchawi, anatisha sana, kama ze commedy Mpoki akivaaga liwigi na lipstick nyekundu, kama nikimbie.
 
mkuu upo kama mimi, mwanamke mwenye wigi namuona kama mchawi, anatisha sana, kama ze commedy Mpoki akivaaga liwigi na lipstick nyekundu, kama nikimbie.

Wigi halina stimu jeki
 
Sasa tatizo liko wapi? Mwili wangu feki zangu na maisha yangu....mutuwache tupendezeπŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa tatizo liko wapi? Mwili wangu feki zangu na maisha yangu....mutuwache tupendezeπŸ˜€πŸ˜€

yaani huoni kabisa hayo mambo yana uhusiano wa moja kwa moja na sisi?? tukiwaacha hivyo wake wa kuoa tutawatoa wapi?
 
Mnajidai hamtaki wakati akipita aliyevaa fekifeki mnamtolea mijicho

Tunatolea macho kwa sababu ya kushangaa alivyo vaa fekifeki na siyo kumshangaa zen unamuomba akuuzie mechi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…