Habar wa JF
Leo nimeona nikumbuke siku ambayo ilinifanya niwe mdogo kama piliton na wa barid kama barafu!
Madhara ya kuwa na wapenzi wawili, ambao majina yao yaana anza J, mfano Jackline and Joyce! Sasa katika harakat za kumbembeleza mpenzi Jacklne kwa kupitia SMS, nzur yenye maneno mazito ya kimahaba alafu mwsh nikamalizia na jina la Jack, mh katika kutuma si nikamtumia Joyc badala ya..Jckln
Kilichotokea hapo........, ???? Hatari sana
Je wewe mwana wa chit-chat?? Tililika