usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
Ilikua 2011, mtoto wa mjeda aliniibia nguruwe wangu Lugalo mabandani, wakati upelelezi na taratibu za kumshika zikiendelea nlienda Lugalo, yule mtoto aliniona wakajikusanya watoto wa wajeda wakanipiga sana na kumpeleka MP jirani na Mwenge napo nlipigwa sana nkapewa ma MP 2 niende nao polisi Kawe nkafute kesi kinguvu.
Nlimweleza mpelelezi wangu nlipofika kituoni aliwabana wale ma MP kwa maswali wakafyata matako na kua bubu japo wanajifanyaga wababe,
mpelelezi alimwambia mjeda ambaye mwanae kanibia kua anapeleka kesi COURT na anafungua kesi nyingine kuwa wamenipiga.. Yule mjeda alinywea kama mtoto ili asamehewe mwishowe alinipa laki ya kunipoza, akampa mpelelezi hamsini na ishrini ya kufuta kesi.