FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
- Thread starter
-
- #101
Siwezi sahau darasa la tatu, Imla ya Sadiki Na Sikiri, kalamu yangu ikagoma kuandika halafu mwalimu alikuwa mkali kama simba.
Bahati nilikuwa mwembamba ingekuwa watoto hawa wa sasa wanaojua stress siku hiyo wangeita ambulensi maana hiyo presha haikiwa ya kawaida.
Thank God akamwambia monita akusanye madaftari, nikapata muda wa kukopi.
...na kumbuka darasa la tatu ndio kwanza unaruhusiwa kuandikia karamu ya wino!
Kweli FirstLady1, niligundua baadae kuwa ilikuwa ni akili za kitoto.wewe ulikuwa na matatizo Sunshow hata kama uliyajua ulikosea kutokuyafanya!
Umenikumbusha mbali, hata mi cku niliyonunua gari langu la kwanza baada ya kukabidhiwa funguo ile tu natoka kwa reverse nikagonga gari la mtu. Ilikuwa so kweli jamaa alinilamba kilo hapo hapo.Siwezi kusahau siku ambayo nimechukua gari langu bandarini,wakati naelekea nyumbani nikamgonga mtu.It was a day fixed with different emotions!!
Tupia tukio ambalo huwez kulsahau.
Lakwangu cwez kusahau nlpokuwa chekechea nlchelewa shule kisa zambarau
Tupia tukio ambalo huwez kulsahau.
Lakwangu cwez kusahau nlpokuwa chekechea nlchelewa shule kisa zambarau
Sir H nimecheka sana.Nilipigwa bakora primary hadi nikanya,noma hyo toka 2002,sitasahau!