Pole sana Mkuu, Ni vigumu sana kusahau lakini Mungu ndiye Muweza wa Yote.The Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.
Aisee, hii kali!
Unajua naogopa kukusimulia wewe mkasa huo maana huwaga tukikutana unaninunuliaga kiroba!...nahofia utaghairi!
Ongea vyema na @FL1, huenda akakufowadia!
Klorokwini na wewe ndo ukaahirisha kidate kisa viatu|? kwani huwawa na ndala ?Aaaargh! kamanda kadada kalikuwa faifu star, hiyo hela ya vibuti yenyewe niliiba kwenye kiduka cha faza enzi zile na nyengine nikaongezea kwa mkopo, kibuti kile kilinipatia mahitaji yangu yote ya ngono kijijini na nilikuwa na uhakika na haka kadada ningekakamata thru kibuti kale lakini kibaka akachafua mchezo wote
FL1,
Nisemee humuhumu au nisemee Pembeni?
Broda,na mie tafadhaliiiiii!!!!!Mi naomba nikuPM kitu kilichonipata ambacho siwezi kukiweka hapa hadharani...Ni cha kushangaza na utata mno!
Mie nilifurahi sana nillipoona matokeo yangu ya form 6,coz wakati nasubiri pepa ya mwisho nililala nikawaomba wenzangu waniamshe mda ukufika wakanisahau,
Niliposhtuka ilikuwa saa nane na nusu na mtihani ulianza saa nane kamili,nilikurupuka na shimizi na sketi na soksi miguun bila viatu wala,shati nikiwa nalia kwa sauti huku nikielekea chumba cha mtihani nikikimbia,
Dah namshukuru mungu nikaruhusiwa kufanya mtihani na nikafaulu vizuri sana.
Nikiwa darasa la saba mwalimu akawa anafundisha nishati. Akasema mwanga ni nishati inayotuwezesha kuona, nikamuuliza giza ni nini? Nilikula fimbo za kutosha.
Nikiwa sekondari nilimuuliza mwalimu mkuu, dagaa kwa kiingereza anaitwaje, nikapewa suspension ya mwezi mzima.
Walimu wa shule za upe na za kata hatari kabisa
Pleaseeeeeeeeeeeeeeee! inatosha shemeji!
Pleaseeeeeeeeeeeeeeee! inatosha shemeji!
Yani ww acha tu,pole cantalisia ila hongera kwa kufanikiwa kufanya mtihani ,,ni kweli hapa huwezi sahau
PJ dah..acha tu sijui hata kwanini nime-comment kwenye hii topic
ni visa vingi sana nimekutana navyo sipendi kuvikumbuka vitaniharibia siku kabisa, am sorry
so sory TFThe Death Of My Beloved Father...nakumbuka siku, saa, tarehe, sehemu na tukio lenyewe and the worse part is i saw how the death happened.