Sitasahau (simulizi ya kweli)

dah, maelezo yote haya na serikali hii ya ndugu Magufuli, naomba msamaha sitoweza kusoma mkuu
 
Yan apo lazma utuambie ulikutana tena na yule mrembo wa posta! Tena utasema yeye ndo kakushobokea this time!
 
Yan apo lazma utuambie ulikutana tena na yule mrembo wa posta! Tena utasema yeye ndo kakushobokea this time!
 
bro umetsha weng wanaokuponda hawajasoma iyo stor ila ni nzur sana ina ujumbe
 
Hii chai bhana..otherwise kuna mahala pa kurekebisha..kwanza alisema ana shahada ya Sayansi ya Jamii kisha akabadilika ana shahada ya IT..kwengine hajakosoe kutiririka sana..alaste viste..
Umeona
 
Nice
 
The story is too long...I can't read between the lines!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…