Mwana wa pori
Member
- Aug 13, 2022
- 12
- 12
Hata hajamaliza aya za kutosha tayari matukio🙂sku hizi story za jf zinakera, hazina utam namaanisha muendelezo naona mpaka tukubembeleze uitwe itwe san, sipendi arosto, kama vipi ungeitupia yote kwa muda huu ungekatika madole yako?? kaa nayo uhadithie moderator!!
yaani mara kaitwa bibi kamcheka mara kitanda kimeloa damu yote tisa nimekubali kumi nako huko kuimwaga yote kaona hasara ganiHata hajamaliza aya za kutosha tayari matukio🙂
hahahaha ni alkasusKyai kya moto kya jioni
View attachment 2508682
🙄Niendelee??????????
Itabidi hizi story zao zisiwe zinawekwa jukwaani,mpaka ziwe zimekamilika!! Maana wengi wamekuwa miyeyusho sana.Una utoto sana, unavyotuuliza uendelee tulikufuata kukuomba utuhadithie?
Kwa jinsi unavyosimulia natabiri utatuacha njia panda. Yangu macho!!!
Hapana mkuuUna utoto sana, unavyotuuliza uendelee tulikufuata kukuomba utuhadithie?
Kwa jinsi unavyosimulia natabiri utatuacha njia panda. Yangu macho!!!
Serious?Itabidi hizi story zao zisiwe zinawekwa jukwaani,mpaka ziwe zimekamilika!! Maana wengi wamekuwa miyeyusho sana.
Usiendelee kaushaSasa baada ya kutoa mguu wa kwanza Kisha nikaona Ile damu ikabidi Nipige kelele Kwa nguvu zaidi,maana niliona nikama miujiza ambayo ilikua inaendelea...baada ya kelele zile nilijikuta napoteza fahamu mpaka nilikuja kuzinduka nikiwa nje kwenye mti wa matunda aina ya zambaru huku pembeni yangu akiwa bibi pmoja na dada zangu wawili na Jirani yetu mmoja....mmoja katika dada zangu aliuliza unajiskiaje nakumbuka nilipotaka kumjibu nikaona ulimi mzito sana,Nikajua labda nikwasababu ya Ile Hali nikawa natoa machozi tu,baadae nakumbuka bibi akawaambia mwacheni kwanza apumzike....!!!!
Baada ya kupumzika Kwa masaa kama mawili alikuja yule Jirani yetu akiwa na uji kwenye kikombe akaniambia "mwanangu unaanza kukua sasa na punde utakua mfalme"maneno Yale yalinifanya nitoe macho maana mara kadhaa tukiwa katika michezo na vijana wenzangu tulipokua tunakosana hawakuacha kuniambia japo Kwa mzaha kwamba bibi Yako ni mwanga....
Kwaio Yale maneno ya yule mama yalinifanya nijiulize ana maana Gani,
Basi akanipa ule uje Kisha akaniambia maliza huu uji Kisha utakaa hapa Kwa Leo usiende kokote....
Basi nikachukua ule uji ila kabla ya kupokea kikombe nikajikuta napata woga wa ajabu sanaaa kuhusu kile kikombe hasa Kwa Yale maneno ya yule mama....
Nikapokea kile kikombe muda huo yule mama alikua ameshaondoka zake,niliangaza pande zote nikajihakikishia hakuna mtu nikapiga hatua kama 3 nikawa nimeumwaga nakurudi sehemu Ile niliyokua nimekaa mwanzo,ila wakati nafanya hayo yote pembeni yangu kulikua na paka ambae Huwa anaishi hapo nyumbani Kwa muda mrefu sana,Cha ajabu baada ya kumwaga ule uji yule paka aliniangalia Kisha akawa kaondoka zake,ghafla baada ya dakika kadhaa nikashangaa bibi amekuja huku amefura Kwa hasira na macho yakiwa yamemtoka.....
Niendelee??????????
Dada usiendelee hadi umpikie mumeo kwanza tusikusumbueSasa baada ya kutoa mguu wa kwanza Kisha nikaona Ile damu ikabidi Nipige kelele Kwa nguvu zaidi,maana niliona nikama miujiza ambayo ilikua inaendelea...baada ya kelele zile nilijikuta napoteza fahamu mpaka nilikuja kuzinduka nikiwa nje kwenye mti wa matunda aina ya zambaru huku pembeni yangu akiwa bibi pmoja na dada zangu wawili na Jirani yetu mmoja....mmoja katika dada zangu aliuliza unajiskiaje nakumbuka nilipotaka kumjibu nikaona ulimi mzito sana,Nikajua labda nikwasababu ya Ile Hali nikawa natoa machozi tu,baadae nakumbuka bibi akawaambia mwacheni kwanza apumzike....!!!!