Umeongea ukweli mtupu huku ukionyesha hisia zako toka moyoniWakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational.
Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA.
Mpaka sasa ninaamini tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.
Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya akichanagamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.
Ninajisikia vibaya sana sana. Nafsi yangu inanisuta sana, sishiriki siasa lakini iwapo CCM itaendelea hivi, nitashiriki siasa za wazi na ni kweli kabisa nitahamia CHADEMA hata kama hakitashiriki Uchaguzi huu. CHADEMA wanasimamia mambo ya kweli ambayo yakizingatiwa basi nchi yetu haitakuja kukumbwa na lawama kuwa sio ya kidemokrasia. CCM yangu mbele yake ni giza tena giza nene, sababu tu ya KUVIMBIWA MADARAKA.
TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
Ni brain kwenye kuongea maneno matamu ila kwenye vitendo na uzalendo hamna kitu. Angekuwa rational kama unavyosema angekaa pembeni na kuacha mtu competent kugombea na uchaguzi ukawa wa amani pia.Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational.
Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA.
Mpaka sasa ninaamini tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.
Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya akichanagamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.
Ninajisikia vibaya sana sana. Nafsi yangu inanisuta sana, sishiriki siasa lakini iwapo CCM itaendelea hivi, nitashiriki siasa za wazi na ni kweli kabisa nitahamia CHADEMA hata kama hakitashiriki Uchaguzi huu. CHADEMA wanasimamia mambo ya kweli ambayo yakizingatiwa basi nchi yetu haitakuja kukumbwa na lawama kuwa sio ya kidemokrasia. CCM yangu mbele yake ni giza tena giza nene, sababu tu ya KUVIMBIWA MADARAKA.
TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
Ndo walioingizwa TISS kutokea CCM. Yule jamaa ni mjinga sana na sijui hata kwa nini anaswali? Angekunywa Pombe na kula kitimoto tu.Kailima ni kada wa UVCCM
Watakuita muhaini😀😀TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
Inasikitisha sanaNi brain kwenye kuongea maneno matamu ila kwenye vitendo na uzalendo hamna kitu. Angekuwa rational kama unavyosema angekaa pembeni na kuacha mtu competent kugombea na uchaguzi ukawa wa amani pia.
Unadhani hajui au haoni yanayoendelea?
Wewe jamaa una akili sana na sasa rasmi nakupandisha cheo kuwa rafiki yangu .Wakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational katika kuongoza kwake.
Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA. Eti Amos Makala anawananga wapinzani na kusema wazi kuwa CCM wana fedha. Hivi kweli jamani tunatambia fedha. Mpaka kusingizia CHADEMA kuleta maambukizi ya magonjwa, hivi kweli tumekwa watupu hivyo vichwani mwetu. Amos Makala hivi wewe kweli ni CPA wewe! Du! Nchimbi mwenyewe amekuwa bendera fuata upepo, hana lolote na hata speech zake hazivutii kusikiliza. Mbaya zaidi hamna msafi CCM, akina Mwigulu Mchengerwa, wote wachafu tu. Wezi wa Uchaguzi hawa. Tunawaona na Mwenyezi Mungu wetu anawaona. Wanatuchafulia sana Chama chetu!
Mpaka sasa nina uhakika tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.
Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya wakichangamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.
Ninajisikia vibaya sana sana. Nafsi yangu inanisuta sana, sishiriki siasa lakini iwapo CCM itaendelea hivi, nitashiriki siasa za wazi na ni kweli kabisa nitahamia CHADEMA hata kama hakitashiriki Uchaguzi huu. CHADEMA wanasimamia mambo ya kweli ambayo yakizingatiwa basi nchi yetu haitakuja kukumbwa na lawama kuwa sio ya kidemokrasia. CCM yangu mbele yake ni giza tena giza nene, sababu tu ya KUVIMBIWA MADARAKA.
TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
Hili linawezekana kabisa ndani ya Mwezi Mmoja tu.Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.
Atakuaminije? Pigeni stori hapa hapaWewe jamaa una akili sana na sasa rasmi nakupandisha cheo kuwa rafiki yangu .
Karibu PM tuwe tunapiga stori za maisha nikufundishe na jinsi ya kuilinda afya yako usife kizembe rafiki yangu.
Wewe unahisi mimi ni nani mpaka asiniamini ?Atakuaminije? Pigeni stori hapa hapa
Wewe Ni Belishaza aliyeambiwa hayo maneno ha Jina lako.Wewe unahisi mimi ni nani mpaka asiniamini ?
Alafu jamaa sipendi ugomvi asubuhi asubuhi
Unanitukana kaka ? Belishaza sio mimi .Wewe Ni Belishaza aliyeambiwa hayo maneno ha Jina lako.
Basi weww Daniel Mtumishi wa Mungu BelteshazaUnanitukana kaka ? Belishaza sio mimi .
Anyway tusibishane kwa maneno niko fit niko gado unaziweza ngumi tupange location ?
Nishachoka kuvumilia kutukanwa
Ahsante ,ubarikiwe sana rafiki yangu ,nakubali mno .Basi weww Daniel Mtumishi wa Mungu Belteshaza
Situmii ndugu Yangu.Ahsante ,ubarikiwe sana rafiki yangu ,nakubali mno .
Vipi mvinyo unatumia ?
Ccm inamda mfupi Sana was kuishi Kama haita badili Sera zake za kichamaWakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational katika kuongoza kwake.
Ninajiuliza kila siku ni kitu gani kimempata huyu Rais wangu, anaogopa nini? Kwani kadri anavyoogopa na kukubali na kushauriwa na watu ambao hawako vizuri kichwani basi NIMECHOKA KABISA. Eti Amos Makala anawananga wapinzani na kusema wazi kuwa CCM wana fedha. Hivi kweli jamani tunatambia fedha. Mpaka kusingizia CHADEMA kuleta maambukizi ya magonjwa, hivi kweli tumekwa watupu hivyo vichwani mwetu. Amos Makala hivi wewe kweli ni CPA wewe! Du! Nchimbi mwenyewe amekuwa bendera fuata upepo, hana lolote na hata speech zake hazivutii kusikiliza. Mbaya zaidi hamna msafi CCM, akina Mwigulu Mchengerwa, wote wachafu tu. Wezi wa Uchaguzi hawa. Tunawaona na Mwenyezi Mungu wetu anawaona. Wanatuchafulia sana Chama chetu!
Mpaka sasa nina uhakika tunaharibu sana, tunaweka doa kubwa sana ndani ya Chama chetu. Chama chetu CCM kinaonesha udhaifu wa hali ya juu. This time nina uhakika hata mabango ya picha za Mgombea wetu baadhi ya sehemu yatachomwa moto na baadhi ya sehemu CCM wanaweza kudhuriwa sana. Wananchi wameshajaa chuki, wanasubiri mtu mmoja tu auwawe ili waingie mtaani. Rais wangu epusha kifo hata cha mtu mmoja pls, toa maelekezo kwa kutumia vyomba vyako hali irekebishwe. Tume ya Uchaguzi kufanya marejeo ya Kanuni na kuzifanya ziwe nzuri ni siku moja tu. Tafadhali SSH epusha chuki inayojengeka hapa Tanzania. TAMKA NENO RAIS WANGU.
Binafsi ni CCM hasa lakini ninaona aibu kwa tunayotenda. Kailima atakuja kuwa kama yule bwana wa Kenya au Jecha siku za usoni. Watoto wa Kailima wataishije huko baadaya wakichangamana na WaTanzania hawa kama vitu vya wazi kabisa anashindwa kuvisimamia. Hivi kweli tumekosa kabisa ujasiri wa kusimama katika Uchaguzi wa Haki JAMANI.
Ninajisikia vibaya sana sana. Nafsi yangu inanisuta sana, sishiriki siasa lakini iwapo CCM itaendelea hivi, nitashiriki siasa za wazi na ni kweli kabisa nitahamia CHADEMA hata kama hakitashiriki Uchaguzi huu. CHADEMA wanasimamia mambo ya kweli ambayo yakizingatiwa basi nchi yetu haitakuja kukumbwa na lawama kuwa sio ya kidemokrasia. CCM yangu mbele yake ni giza tena giza nene, sababu tu ya KUVIMBIWA MADARAKA.
TUTAKUFA VIBAYA SANA kwa sababu ya kunyonga demokrasia. YANGU MACHO!
Mh sawa mkuu ,niombee nitoke huku .Situmii ndugu Yangu.
Mvinyo ni hatari kwa afya na mwili wako ambao ni Hekalu la Roho Mtakatifu
Umeandika uharo mtupu, km unataka sauti inayovutia sikiliza ya mkeo. We bwege katafute ht akili ya kuazima. Uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu na Rais wetu ni Samia atashinda kwa zaidi ya 90% hakuna kima atakayetoa ht pua kujaribu kuuharibu. We nenda kaharishe huo uvundo utakufa. Huyo mtu unayefikiria atakufa, atakufa siku zake zikifika siyo kwasababu nyingine yoyote, ht akifa hakuna lolote litakalotokea atapumzishwa km wengine usilete vitisho vya kipuuziWakati nikifungua akaunti hii nilikuwa na furaha sana tena sana kwani niliona hakika Taifa linaenda kuongozwa na brain. Ukiangalia tarehe ya kuanza kwa akaunti hii na tukio lililokuwepo wakati huo utanielewa vizuri. Kwangu SSH ni brain hata katika Bunge la Katiba alionesha hilo na alikuwa very very very rational katika kuongoza kwake.