mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,580
- 2,993
Kwani uliambiwa JF ndiyo anapochaguliwaga Rais, I wish I could be JF Director!Sitamchagua tena Magufuli japokuwa nilimchagua 2015,sababu
1-ameleta uoga makazini kwa kusimamisha watu na kufukuza watu kazi hovyo pasipo kufuata utaratibu
2-ameshindwa kuongeza mshahara kwa watumishi licha ya kuwa ni takwa kisheria.
3- ameshindwa kuajiri sambamba na kuzalisha ajira nyingine Nje ya serikali na kuleta maafa kwa familia masikini
4-amesababisha kushuka kwa mauzo kwa wafanyabiashara baada kuintroduce sera mbovu za uchumi zilizoleta maafa kwa watanzania,(ikiwemo kuhifadhi fedha za uma BOT)
5- Ameshindwa kuchochea uchumi kwa kuwalipa wakandarasi wa ndani matokeo yake makampuni na biashara nyingi zimefeli na kufa.
6- ameshindwa kuwa na kauli za kutia moyo kwa wananchi wake wanapopata matatizo ,badala yake amegeuka kuwasimanga.
7-serikali yake imeshiriki kuvunja nyumba za walalahoi masikini maeneo mengi pasipo kwanza kuandaa mpango mbagala( jangwani)
8-ameshindwa kabisa kuheshimu katiba na kuchekelea wateule wake wakivunja katiba.
9-ameshindwa kuwapa mikopo wanafunzi wengi wa masikini utofauti na watsngulizi wake.
Wajinga wengi sana. Hawa wajinga km ww huwez kuwakuta upinzani.Kwani uliambiwa JF ndiyo anapochaguliwaga Rais, I wish I could be JF Director!
Ungefanyaje?Kwani uliambiwa JF ndiyo anapochaguliwaga Rais, I wish I could be JF Director!
JF is a strong medium of communication, hapa kwa kuthubutu kidogo amewasilisha ujumbe fikirishi kwa wapiga kura wa haja! Uache ubongo wako ujivinjari!Kwani uliambiwa JF ndiyo anapochaguliwaga Rais, I wish I could be JF Director!
Ha ha haaa.jamaa kachokwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazazi wako watakuwa wahanga wa tetemeko huko kagera....Huyo choko wazazi wangu walimpigia kwa sasa wanalia vibaya kwamba huyu mtu hafai kabisa. Mzee huyu anaroho mbaya sana hana breki kwenye kuongea.
Sitamchagua tena Magufuli japokuwa nilimchagua 2015,sababu
1-ameleta uoga makazini kwa kusimamisha watu na kufukuza watu kazi hovyo pasipo kufuata utaratibu
2-ameshindwa kuongeza mshahara kwa watumishi licha ya kuwa ni takwa kisheria.
3- ameshindwa kuajiri sambamba na kuzalisha ajira nyingine Nje ya serikali na kuleta maafa kwa familia masikini
4-amesababisha kushuka kwa mauzo kwa wafanyabiashara baada kuintroduce sera mbovu za uchumi zilizoleta maafa kwa watanzania,(ikiwemo kuhifadhi fedha za uma BOT)
5- Ameshindwa kuchochea uchumi kwa kuwalipa wakandarasi wa ndani matokeo yake makampuni na biashara nyingi zimefeli na kufa.
6- ameshindwa kuwa na kauli za kutia moyo kwa wananchi wake wanapopata matatizo ,badala yake amegeuka kuwasimanga.
7-serikali yake imeshiriki kuvunja nyumba za walalahoi masikini maeneo mengi pasipo kwanza kuandaa mpango mbagala( jangwani)
8-ameshindwa kabisa kuheshimu katiba na kuchekelea wateule wake wakivunja katiba.
9-ameshindwa kuwapa mikopo wanafunzi wengi wa masikini utofauti na watsngulizi wake.
Anzisha ya kwakoKwani uliambiwa JF ndiyo anapochaguliwaga Rais, I wish I could be JF Director!