Nenda kanisani katubu umrudie muumba wako. Ukiwa karibu na mtumishi wa kiroho kwa ajili ya kukuongoza utasimama na utasahau haho yote.
Wapo wengi walisema hawataoa lakini mungu anawafungulia milango na wanaoa. Kataa kutawaliwa na shetani na usimpe utukufu.