Sina utaratibu wa kusimama kanisani kujitambulisha nikiwa mgeni.
Kuna kipindi nilishaenda kusali kanisa flani huko Kijiji,kanisa zima watu wanajuana wote.
Ikafika muda wa mgeni kujitambulisha,aisee nilijikalia kimya benchi zima wananiangalia na nilikua nimekaa benchi za mbele mbele,baba mchungaji naye amenitolea macho kwa ile style ya si usimame mgeni ujitambulishe aisee kimyaaa mpk mwisho sikusimama.
Sipendi unnecessary attention.