Pole sana ndg. Nenda katoe hiyo ahadi yako haraka hata kabla hawajamaliza ujenzi huo. Jua kwamba; Mungu wetu hadhihakiwi. Ungeliwaambia; Hapa sina kitu zaidi ya mia 5 mfukoni lakini Kama Mungu atanifanikisha katika mishe zangu hikiwa hapa kwenu naahidi kuleta kamchango kangu mapema sana. Ni nani angekuuliza??
Umeahidi, timiza ahadi yako haraka kwani Mungu hadhihakiwi. Ahadi iliyowekwa kwa Mungu ni nadhiri. Usikawie kuitangua.
Unahitaji uchangiwe pesa ya kutimiza ahadi?By Aswile Mwanyasi
0754426142
Hatulazimishi kutoa, tunahamasishaHiyo ni RC ipi unayoizungumzia? Hii hii ambayo kama michango yako ya ujenzi haijapokelewa kwenye Jumuiya haupati huduma za kanisa?
Kiukweli watu wengi wanakwepa kwenda makanisani kusali these days wakihofia michango mbalimbali hasa ya ujenzi. Kwa wengi ni aibu na fedheha kushindwa kuahidi kitu mbele ya watu na kutoa ahadi isiyotekelezeka ni dhambi pia. Kuna baadhi ya makanisa ukitia tu mguu huku umevaa "suti", unachomekwa kwenye kamati ya ujenzi siku hiyohiyo
Hiyo ni RC ipi unayoizungumzia? Hii hii ambayo kama michango yako ya ujenzi haijapokelewa kwenye Jumuiya haupati huduma za kanisa?
Huko kuhamasishana ni style mpya ya kulazimishana. Hata mtoa mada hakulazimishwa bali alihamasishwa kutoa ahadi ya ujenzi. Kwa makanisa "yanayodai na kudai na kudai" michango tena kwa kutishiwa kutokupata huduma za Kanisa huwezi kuwatoa RC ukiwa mwaminifu kwa nafsi yako.Hatulazimishi kutoa, tunahamasisha
Sawa, MUNGU hadhihakiwi lakin soma mazingira yaliyomkuta ndugu, ni kama mabibo Yona mpaka akamtosa safari yakePole sana ndg. Nenda katoe hiyo ahadi yako haraka hata kabla hawajamaliza ujenzi huo. Jua kwamba; Mungu wetu hadhihakiwi. Ungeliwaambia; Hapa sina kitu zaidi ya mia 5 mfukoni lakini Kama Mungu atanifanikisha katika mishe zangu hikiwa hapa kwenu naahidi kuleta kamchango kangu mapema sana. Ni nani angekuuliza??
Umeahidi, timiza ahadi yako haraka kwani Mungu hadhihakiwi. Ahadi iliyowekwa kwa Mungu ni nadhiri. Usikawie kuitangua.
Kweli kabisaa,.makofi ya upendo na ukaribisho..Sisi kanisani kwetu wageni wakishajitambulisha tunawakaribisha kwa makofi matatu wabarikiwe na Bwana
Kwanza kabisa nikusahihishe ndugu yangu; Unachosema UJASIRI, Huo sio ujasiri huo ni UOGA.Nkapata Ujasiri Wa Kudanganya Tu Ili Niepukane na Fedhea Ile
[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo ndio umeenda nayopeleka mifuko ya watu mkuu,,,
tehteh eti jumapili ijayo,,usingetaja lini utatoa ,,
Sasa hayo ya mgeni kufika na kufika kuambiwa kutoa michango sijui kanisa gani hiloKweli kabisaa,.makofi ya upendo na ukaribisho..