Sitakuwa jamvini kwa muda!

Genekai

R I P
Joined
Feb 9, 2010
Posts
12,514
Reaction score
5,006
Wapendwa wana JF, Niwataarifu tu kuwa sitakuwa hewani hapa jamvini kwa muda wa siku chache.

Hii ni kutokana na hizi sikukuu tatu za pasaka tunakuwa busy sana jamani. Nitarudi jumatatu kama mchana hivi.

Nitalikosa jamvi na wanajamvi, nawapenda sana wote tunaopingana na tunaosupportiana. Wiselady mamangu nitakukosa sana tu, kupeng'e, pakajimmy my bro, invisible mwalimu wa nidhamu, melo my bro, rev fr masanilo najua utakuwa busy km mimi, mariaroza dadangu mpendwa, maty best friend, mzizi mkavu my buddy, Dena Amsi hata facebook nimekugoogle bila mafanikio, ex paster, gavana my friend, Babu ataka kusema mzee wa busara.
Mzee mwanakijiji, na wengine wengi nawapenda sana!

Mbarikiwe sana. Mungu ni mwema na anatutia nguvu kwasababu ana haja nasi bila kujali tofauti zetu kiimani na kimatendo!

Genekai!
 
Je ushapata mbuzi au kondoo wa kuchinja Pasaka?

Nakutakia Mapumziko ya amani mkuu.
 
Hahah huyo atakwua anachinda Mbuzi katoriki! lol. Mapumziko mema. Enjoy. HAPPY EASTER
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…