Sitaki wamakonde tena, nimekoma Jamani

Hapa tunaambiwa jamaa anaishi Mtwara lakini kuna thread nyingine iliyopishana dakika chache tu na hii anatueleza yuko Tandale kwa Tumbo, ambako hafikirii kuhama baada ya kunogewa na mijimama ya huko. Inaonyesha JF huwezi kupata views za kutosha bila kuweka fiction.
 
Hivi wamakonde ndio wale wanachorwa chorwa usoni?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tabia ya m2 mmoja isiwe matusi kwa kabila acha kauli zako za kiboya unavyosema kule maisha ya chini wewe ni wa wapi?
 
Huu uongo umegraduate Chuo kikuu. Haiwezekani mtu mzima na ndevu zako ukaanzishe mahusiano na katoto kenye 15yrs. Hapa inabidi tukupeleke Tamwa ama tgnp naikibidi high court kwa kosa la ubakaji.
 
hebu tubadilishane uzoefu jamani!!..najua sipo peke yangu niliyepewa limbwata!

Hahahaa....hata mtoto mdogo haumizi kichwa kugundua kuwa hii story ni ya uongo....eti branch manager hahahaha wakati hapo tandale unapokaa unaishi kwa kutegemea mechi za ndondo
 
Mnaosapoti hii thread mmefikiria vizur je limbwata lina kabila? hapo mjinga mmakonde au mleta uzi? 2sishabikie ujinga!!
 
holygrail acha kutunga stori... muda si mrefu nmeona thread ukifurahia mijimama ya tandale na sasa unazungumzia ya mtwara !!???
 
Last edited by a moderator:
holygrail acha kutunga stori... muda si mrefu nmeona thread ukifurahia mijimama ya tandale na sasa unazungumzia ya mtwara !!???

mwone na hapa

heheheiyaaa!!.,tenaaaaa!!!

Hakuna kama uswazi wajameni!!...yani ningejua ningelihamia mapemaaaa!!

Nina mwezi sasa tokea nimehamia hapa kwa tumbo tandale baada ya maisha ya kishua kunikataa!!

Huku watu wapo vere sosho hadi raha!!...afu mwenzenu nina kale ka ugonjwa ka mijimama yenye misambwanda ya ajabu!!...huku ndo wamejaaaa!!!

Huku vigodoro kila siku wajameni!!..huko unakutana na mijanamike ya kiswazi iliyofungasha nyuma balaa!! Inanyonga mauno kama feni!!...mimi hoi!!

Halafu hawana hata gharama ikizidi sana buku tano then unapewa huduma zote hadi choo unapewa jameni mweeh!!...

Watoto wa kishua vere majanga!!..wanaringaa afu ukicheki hata shepu hawana!! Afu wanapenda hela hao kama benki!!..

Karibuni sana uswazi jamani!!...wale wanaotaka mijimama inayojua mapenzi ya nguvu wani pm then nitawa kuwadia!!...

mcheki na hapa tena huyu tahira

Mcheki na hapa alikuwa Tunisia na siyo mtwara tena..

ujue mimi nilikuwaga najua hawa ndugu zetu kina juma hawali hii kitu kumbe ni illusion tu!! Take it from me wakulu!!..hawa jamaa ni walaji wazuri wa huyu mdudu mlaaniwa!!

October 20 mwaka jana nilikuwa tunisia kwa mishe zangu za biashara. Sasa kuna jamaa yangu nilijuana nae via fb anaitwa abdultwaleheb sulbarlum ndo alikuwa mwenyeji wangu!!

Siku ya tatu wakati wa chakula nikashangaa jamaa anakwenda kufunga mlango nikamuulza vp mwenzangu!!...hakujibu kitu. Katika chakula kulikuwa na nyama tamu sana lakini sikujua ni ya nini.

Ikabidi nimuulze ile ni nyama gani?...lahaulaaaa!!..akasema ile ni mbuzi katoliki iliyo rostiwa kwa ufundi wa hali ya juu sana.

Nikachokaaa!!...nikamuulza kama dini yao inaruhusu? Akasema ni marufuku sema huwa wanafanya siri sana tena kwa oda maalum na wanapokula wanafunga milango kabisa. Akasema ile ni nyama namba moja inayopendwa na watu wote sema dini ndo inawazuia kula hadharani!!

I was like wooow!!...kumbe hata nyie mnakula jamani!!! Ifike wakati tuachane na taboos ambazo ni outdated!!...

Swaga: noah+bia baridii=kitambi lishe.

By mnazi wa noah

hii mijitu inayokuja hapa Jf Na habari za kutunga inaboa sana
sijui ni misifa inatafuta ama ni nini.

Idiotss
 
Hii ndio miujiza ambayo watu hawapendi kuyaelewa na wanakimbilia eti kanisani... Hii ndio Tanzania usiyoijua ambapo mtu anapokea laki mbili lkn ana wake wawili na watoto sita wote wanasoma academies na ana nyumba tatu
kwa hio unataka kusema kwamba jamaa anaongea mambo ya ukweli?
 
inategemea yupo kitengo gani katika ajira yake

aah wapi! hajatoa time period ambayo anaweza nunua hiyo gari!

huyu huyu amesema kwamba anaishi uswahilini...!

huyu huyu tena akasema anamsomesha mdogo wake.. (hapo kasema yuko na yeye tu, hakutaja kama ana mke ama watoto)

sasa mbona haeleweki?
 
Back
Top Bottom