hizi ndio mada zinazokufaa wewe paka na wala sio siasa unazokimbilia huku huziwezPeleka MMU
Mmh..hili jina kwani baya?Soulmate unamwita demu???
No wonder !!!
Mmh..hili jina kwani baya?
Unapendwa uitweje na mpenzi wako lizzy
"Aliyekuwa" Mkuu sijui unaelewa definition ya hilo nenoJUzi tu nilimfumania live demu mmoja aliyekua demu wangu wa karibu
Not anymoreyaani my soulmate
Sasa jombaa mbona unachangaya madawa si umeishasema "alikuwa" which means she is not anymore wa kwako tenainaniuma ila sijui ni solve vipi
"Aliyekuwa" Mkuu sijui unaelewa definition ya hilo neno
Not anymore
Sasa jombaa mbona unachangaya madawa si umeishasema "alikuwa" which means she is not anymore wa kwako tena
hahahahaaa, labda amekanganyikiwa sana kiasi kwamba anachanganya madesa!!
Kama hawezi kutumia mengine ya kuvutia aniite jina langu tu!!!
Ki-sweet haujambo wewehahahahaaa, labda amekanganyikiwa sana kiasi kwamba anachanganya madesa!!