Mzeyaaaaaaaaa!!! Mbona umeanza na kujihami, kama dini inaruhusu na unakipato cha kuwatosheleza wote, ongeza ongeza tu mkuu, hamna mtu anayeweza kukushauri kuhusu hili, kama umeshaamua hata ukiambiwa si vizuri hautakubali hata kama dini hairuhusu ndo ungejidai kuiita nyumba ndogo. Au ungebadili kichwa cha habari kisomeke hivi: NAOMBENI MCHANG WA MAWAZO, NATAKA KUONGEZA MKE WA PILI. Hapo ungepata mawazo bomba kibao!!