so ukimcall ansemaje?au akicall yeye anasemaje?au umeamua kufa kisabuni.
Tatizo lipo hapo mkuu.
Kama una mpenzi wako Dodoma haswa kipindi hiki cha Bunge hiyo andika maumivu mkuu.
Pole sana..vumilia tu Bunge likiisha atakutafuta.
Nachelea kusema ni vigumu kutabili kuwa hana mapenzi kwa sbb ulizozieleza hp juu kwa hili swl linaitaji mjadala kt yenu nyinyi wawili. Vunja ukimya zungumza naye.
pole kaka chele2Ndugu zangu,nina msichana ni mpenz wangu na tumewekeana ahadi ya kuja kuoana. baadh ya ndugu zake kama vle mama yake,mdogo wake na dada yake wananifaham na huwa nawasiliana nao japo hatuwaweka waz juu ya uhusiano wetu!
Jaman,tangu mwishon mwa wik iliyopita mapenz yetu yameanza kusuasua hasa kimawasiliano kwan mi nipo mtwara na yeye dodoma! simwelewi,namtumia sms hajibu,wik hii nilipata tatizo kubwa usiku na nkamweleza kwa sms kwan ilikuwa usiku wa manane lakin bado hakuthubutu kunitafuta kesho yake. Mpaka sasa yupo kimya,nimejaribu kuwatafuta rafk zake kuwauliza kama mpenz wangu anatembea na sim au amepoteza wanasema anayo! naomben ushauri nifanye nin kwan nampenda yeye na sipendi kurukaruka kabisa kwan maradhi n mengi
Haoneshi ushirikiano mzuri kimaongez kwan anatoa majibu yasiyo ya kukaribisha,nimempigia asubuh leo kumjulia hali yan anavoongea mpaka nkaishiwa maneno
Haahaa...huwa wanaingia mjengoni mjengoni Lady Doctor. Mambo yanayoendelea huko wakati wa Bunge ni hatari. Ndio maana nimemshauri huyo mleta mada ale kobisi mpaka Bunge liishe huyo mchumba atamtafuta tena:mvutaji:teh!teh! Na wao huingia mjengoni nini?
Pole dia ila cha kufanya hapo ni kuwa kinya kwa muda wa wiki kama mbili ukiona hutafutwi basi jua umeachwa so acha kujiumiza kwa kupiga masimu yasiyo na feedback mpendwa.
Haoneshi ushirikiano mzuri kimaongez kwan anatoa majibu yasiyo ya kukaribisha,nimempigia asubuh leo kumjulia hali yan anavoongea mpaka nkaishiwa maneno
Mbaya zaidi analeta mapenzi ya baby i love youuuuu
mfuko umetoboka.
Akikutana na mdada wa watu mpaka maku inakuwa nyekundu na kuwasha kwa kuikandamiza.
we Chele2 jipangeeeee ohoooo dodoma bunge linaendelea kipindi hiki watu wakooo bizeee vibaya sana.
we lia lia tu humu mwenzako anakula raha sahivi kama namuona dom hotel
Haahaa...huwa wanaingia mjengoni mjengoni Lady Doctor. Mambo yanayoendelea huko wakati wa Bunge ni hatari. Ndio maana nimemshauri huyo mleta mada ale kobisi mpaka Bunge liishe huyo mchumba atamtafuta tena:mvutaji:
Wa mjengoni hawaachi masalia vuta subra wamalize muhula. Atarudi mwenyewe kiroho safiiiiiii
Hakunaga mapenzi siku hizi jamani...mbona hamuelewi???????????????
Aaaaarrgggghhhh...aje mtu mwingine hapa aseme ameumizwa na mpenzie...ama hakika nitamserukamba.
Hahahahaaaaaa mrembo yuko bize anahudhuria vipindi vya Bunge kwa mumakini mkubwa...