Ndugu zangu,nina msichana ni mpenz wangu na tumewekeana ahadi ya kuja kuoana. baadh ya ndugu zake kama vle mama yake,mdogo wake na dada yake wananifaham na huwa nawasiliana nao japo hatuwaweka waz juu ya uhusiano wetu!
Jaman,tangu mwishon mwa wik iliyopita mapenz yetu yameanza kusuasua hasa kimawasiliano kwan mi nipo mtwara na yeye dodoma! simwelewi,namtumia sms hajibu,wik hii nilipata tatizo kubwa usiku na nkamweleza kwa sms kwan ilikuwa usiku wa manane lakin bado hakuthubutu kunitafuta kesho yake. Mpaka sasa yupo kimya,nimejaribu kuwatafuta rafk zake kuwauliza kama mpenz wangu anatembea na sim au amepoteza wanasema anayo! naomben ushauri nifanye nin kwan nampenda yeye na sipendi kurukaruka kabisa kwan maradhi n mengi
Mbaya zaidi analeta mapenzi ya baby i love youuuuuKama huna hela hata ya kupiga,
unasubiria tu tigo extreme, lazima uachwe!
Pole dia ila cha kufanya hapo ni kuwa kinya kwa muda wa wiki kama mbili ukiona hutafutwi basi jua umeachwa so acha kujiumiza kwa kupiga masimu yasiyo na feedback mpendwa.
Duh!Akikutana na mdada wa watu mpaka maku inakuwa nyekundu na kuwasha kwa kuikandamiza.
we Chele2 jipangeeeee ohoooo dodoma bunge linaendelea kipindi hiki watu wakooo bizeee vibaya sana.
we lia lia tu humu mwenzako anakula raha sahivi kama namuona dom hotel
Mbaya zaidi analeta mapenzi ya baby i love youuuuu
mfuko umetoboka.
Akikutana na mdada wa watu mpaka maku inakuwa nyekundu na kuwasha kwa kuikandamiza.
we Chele2 jipangeeeee ohoooo dodoma bunge linaendelea kipindi hiki watu wakooo bizeee vibaya sana.
we lia lia tu humu mwenzako anakula raha sahivi kama namuona dom hotel
Pole dia ila cha kufanya hapo ni kuwa kinya kwa muda wa wiki kama mbili ukiona hutafutwi basi jua umeachwa so acha kujiumiza kwa kupiga masimu yasiyo na feedback mpendwa.
Kosa si lake jamannimekupa like maana huna hata moja.
Mwenzio naumia ndugu yangu,leo nimempigia sim anadai imeharibika display! dah nimeshindwa la kufanya
Kosa si lake jaman
Join Date : 5th April 2013
Posts : 21
Rep Power : 309
Likes Received2
Likes Given0
Join Date : 5th April 2013
Posts : 21
Rep Power : 309
Likes Received2
Likes Given0