Kuna kipindi nishapenda saana lakini mambo yakawa tofauti kabisaa,nilifanya wawili ili kupunguza risk ya kukataliwa ,kama akikataa mmoja basi mwingine akubali.....mwisho I lost all of them
7yrs dah! hii imekaa kiushirikina zaidi!! siyo siri kuna mkono wa mtu hapo!! mtafute manyaunyau kwa msaada zaidi ......... pengine naomba kujua kwani demu wako uliokuanae mwanzo mliachana kwa ugomvi??
Iko hivi, kama ilivyo maombi ya kazi, unaweza kuapply hata 200 ukaitwa 5 kwen interview. Maana yake ni kwamba usikate tamaa, halafu usiwe na dhana ya kumwingia moja kwa moja wengina wanahitaji ujenge kwanza urafiki kwa muda na umpe re assurance...sasa ukionekana hata wewe ni desparate wanakuwa na wasi wasi
Muhimu jiamini, kuwa na mitizamo yako lakini pia kubaliana na mitizamo yao hapa na pale. Jiweke nadhifu, nenda sehemu decent kama unataka akuchukulie seriosu, sio unampata siku ya kwanza Sun ciro hapana. ongelea mambo ya kawaida ya maisha, maendeleo yako then seek her opinion nk.....
Ukienda na ile ya mra ya kwanza "dada nimekupenda/nakutaka uwe mpenzi/mchumba" itakula kwako jumla.
nilitumia approach hiyo ya taratiibu and it took two yrs, but at last, I was rejected......so in my mind nkaona inawezekana kuanzisha at the instant ili kupunguza kupoteza muda sehemu ambayo hakuna hisia....
Two years? Hata wizara ya ardhi inayoongoza kwa petty corruption wangeshakupatia hati ya kiwanja, kha! Slow doesn't mean sluggish bana:loco:nilitumia approach hiyo ya taratiibu and it took two yrs, but at last, I was rejected......so in my mind nkaona inawezekana kuanzisha at the instant ili kupunguza kupoteza muda sehemu ambayo hakuna hisia....
Kaka mie sijawahi kutaka mtu, huwa na 'fall' with a bang baada ya ku-calculate gravity force nisije nikaangukia kichwa.you had the wrong person from the start na ilibidi uwe quick kumsoma dalili zake. Unazijua dalili za mwanamke anayekutaka au anayefall? Hili nitawaaachia swwtlo gfsonwin, cacico, Kaunga, BADILI TABIA and my sister King'asti wakupe dalili hizi ili uone.
kumbe na wewe huwa unaangukia kichwa?
Teh teh!
Tuliachana kwa amani kabisaaa......
hutaki kurudi nyuma......songa mbele kaka!!!!
weka picha hapa wadada waione, uone kama uopoi mdada,wadada wa jf hawalembi...
duh pole sana kaka yangu, angalia pia ulikotoka na huyo wa kwanza mliachana katika mazingira ya amani au? si ajabu mdada wa watu alilia sana juu ya kuachana kwenu na akalaani. ogopa sana kilio cha kwikwi cha mwanamke mbele za mungu, Kikubwa zaidi endelea kumwomba mungu akupe wako.
Pole sana, usikate tamaaa!
Pengine kuna vitu una vikosea.
1.pengine unafata mwanamke ambaye amuendani.
2.pengine maneno yako mengi unayo wambia wanawake hayana uhalisia hata kidogo na ulivyo( unajisifu sana)
3.pengine ni kuto jiamini kwako tu ndio tatizo.
Lakini me ninachojua kama umetoswa na wanawake 2 ni wachache wala sidhani kama unatongoza kweli kweli.
Na kwa huyo msichana uliye nae karibu jaribu kutengeneza mazingira na umwambie unampenda, usiogope kumpoteza huyo si ndugu yako, wewe mwambie mapema usipoteze muda wajanja wa town waka kuumiza tena.
Kuogopa kwako kumpoteza kuna weza kuwa sababu ya wewe kukaa kimya sababu una hofia kutoswa, achana na habari hizo we mwambie akikutosa sio mwisho wa maisha na usishangae na huyo kukutosa.
Natumaini utajipanga kufanikiwa usipoteze muda na mtu asiye ndugu yako wala usiogope kumpoteza.
Tafuta hela,watakuja wenyewe hao!
U r so cunning mi lady...hahaha nice one. Hivi kumbe shughuli nzima ya kumpata mwezi si kazi ya kitoto eh? Manake hizi mbinu nyingine kama fitna za kwenye futiboli vile duh!No offence intended, muambie rafiki yako anaowadrop akupe hint mapema. The easiest means ni ku-act kama mfariji. Wenye kichwa ngumu kama king'asti wapotezee, u are not as strong.
All the best, kila mtu kaumbiwa wake.