Khasante sana,sizani kama nitaweza kumsahau na pesa haina nafasi kubwa katika mapenz ya ukweli@felindadah pole sana ndio mapenzi yacku hizi pesa mbele,,,
Mungu alituumbia kusahau hope one day utamsahau na utampenda akupendaye,,
Khasante Kweli nimekuwa@Kongosho.pole sasa umekua kimapenzi.
sizani kama nitapenda tena na sikujitakia kupenda mapenz ni hisia na hisia huwez kuzizuia...heheheheheheheheheeh mbona utapenda tu kwani ulijitakia kupenda? its un involuntary action hutokea tu ndio maana hata mtu akikufanyia kitu it takes time to forget
Khasante sana nazani yeye nichaguo la mungu coz nilivyokutana naye nikama mungu alipanga@princesspole mwaya!!! najua moyo wako umepararise kimapenzi but one day utampata atakaekupenda nawe ukampenda!!! nadhani unaamini kwamba yupo wako wa maisha so ukiona hayo yanatokea ujue huyo sie mtu sahihi for you! yani aliyeumbwa kwa ajili yako!
Khasante kwakunipa maneno ya faraja@ruttashobolwa.Pole sana lakini kakufunza watu wa kuwalipia ada! Now umekuwa mkubwa umejua hana mapenzi nawewe bali pesa zako!
Usijali utapata atakaye kupenda kwa dhati najua umeumia hiyo ni kawaida na utasahau na kupenda tena!
Mbona tayri umejibu kaka kama mapenzi ni hisia na hizo hisia huwezi zizuia so unauhakika upi kama hizo hisia hazita kuja kukufanya upende tena?sizani kama nitapenda tena na sikujitakia kupenda mapenz ni hisia na hisia huwez kuzizuia...
tatizo waschana wengi sio wakweli na hatujui inauma kiasi gani kumtenda mwenzako au kumpotezea mtu muda wake!!wanajal maslah but wakitendwa wao!! hutamani hata kujinyonga!!!Khasante sana nazani yeye nichaguo la mungu coz nilivyokutana naye nikama mungu alipanga@princess
Una miaka mingapi ndugu?