Sitaki kuamini kama Zitto anatoa ushirikiano kubakwa kwa ACT

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,342
9,824
Kuna wakati nilitamaani kuwa katika viatu vya Zitto Zuberi Kabwe.

KWANINI?
Napenda sana changamoto. I really like those situations between the rock and a hard place.
Naamini they bring the best out of me.
Ave been through quite a few and managed spectacular comebacks!

Nilitamaani ACT iwe na mkakati wa muda mrefu wa kuwaandaa vijana safi,kuwajengea uwezo wa kujenga hoja,kuwatengenezea personalities kwaajili ya siasa za ushindani baadae.
ACT was never going to have overnight success.No chance!

ACT ilikuwa mbali na jicho la camera hivyo amateur politicians wangekuwa na fursa nzuri ya kujitengeneza.
Nilishangaa sana ile too ambitious na unrealistic strategy ya Zitto.
Mgombea ubunge kila jimbo na Mgombea uraisi pia kwa muda mfupi?
It were never going to work.
It was money wasted and almost proof ya mfamaji strategy.
The gibberish to show Chadema that I can pool this was not worthy the effort.
The advertisements were too big and in reality ther were very few products to sell.

Anyway,nilidhani nia ya Zitto kujenga chama ilikuwepo.
Na nilifarijika alivyofanikiwa kuvuta majina yenye sifa nzuri kirahisi!
Hiyo ni sifa ya kiongozi, KUWA NA USHAWISHI.

Ila kinachoendelea sasa ACT kimenichanganya!
CCM kuweka majina makubwa ya ACT kwenye nafasi zao za kisiasa ni kama ndoto kwangu.

Najiuliza, Kama viongozi wa juu wa ACT walishindwa kuielewa falsafa ya Chama chao, wakashindwa kuitofautisha na ya CCM, Je wanachama wa kawaida walielewa?

Mimi nadhani ACT inabakwa, atleast this is the best explanation.
Na sitaki kuamini kama Zitto anatoa ushirikiano kwa ubakaji huo.
 
It is your opinion, but you are wrong.
You must think out of box.
Nchi hii inahitajika kuwa reformed kwa kuaribiwa na ccm. Viongozi kutoka ccm tu hawana huwezo wa kuirekebisha nchi hii that is why magufuli anaomba msaada kutoka viongozi walio makini na maadili kutoka ACT CHAMA MAKINI ili wasaidie.

Na mbatia alipoteuliwa na jk alkua tawi la ccm?
Shida sio anayekuteua shida ni kzi unayoteuliwa nayo kma kuteuliwa na rais wapinzani wengi tu wameshawahi kuteuliwa kwenye tume mbalimbali na rais kma ya katiba na mengineyo kwahyo issue sio kuteuliwa na ccm issue ni kwamba mghwira na mkumbo wanafanya directly kazi ya Rais ambaye ni mwenyekit wa chama kingine but mbatia alifanya kazi ya kibunge na hakuwa anaripoti kwa kikwete!!!
 
It is your opinion, but you are wrong.
You must think out of box.
Nchi hii inahitajika kuwa reformed kwa kuaribiwa na ccm. Viongozi kutoka ccm tu hawana huwezo wa kuirekebisha nchi hii that is why magufuli anaomba msaada kutoka viongozi walio makini na maadili kutoka ACT CHAMA MAKINI ili wasaidie.
Sasa ACT watakiwa na moral support ya kuendelea kuikosoa serikali wakati viongozi wake wote wapo huko???? Yaani vongozi wake wanaripoti kwa mwenyekiti wa CCM dah hapa kabugi na 2020 atapata majibu yote unless na yye aelekee huko huko
 
Nyumbuz bhana, kwa hivyo wakati mbatia anateuliwa kuwa mbunge na jk.......unasemaje kuhusu uteuzi ule
Ikumbukwe mbatia kwa sasa ni ukawa!
FB_IMG_1493010472708.jpg
 
Kwahiyo wanaenda CCM alafu baadae wanarudi ACT .
Basi naomba niazime mke wako kwa wiki moja tu alafu atarudi.
 
Nyumbuz bhana, kwa hivyo wakati mbatia anateuliwa kuwa mbunge na jk.......unasemaje kuhusu uteuzi ule
Ikumbukwe mbatia kwa sasa ni ukawa!
Aisee ubunge na ukuu wa Mkoa ni vitu viwili tofauti,ni afadhali kidogo na Mkumbo aliyepewa utendaji wa wizara.Hili la safari hii ni KUBWA KULIKO.
 
Ni mawazo ya ajabu sana!!! Mbona kila siku Bashe anaikosoa serikali..Bashe ni CUF au ACT?

Back
Top Bottom