MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Jun 13, 2015 #21 slim5 said: Watu wengine bana! Click to expand... ..... wa huko huko vijijini
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 13,127 Reaction score 30,575 Jun 13, 2015 #22 Hahahaha
A afrocentric mind Member Joined Jun 11, 2015 Posts 28 Reaction score 27 Jun 13, 2015 #23 'Valentina' said: Hebu muulize anataka nini Click to expand... Anataka Mbuzi
C CREOLE JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 563 Reaction score 337 Jun 13, 2015 #24 Usikute anapata usumbufu kuliko wewe na funguo zako za gari.
N ngonza JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 354 Reaction score 236 Jun 13, 2015 #25 Mitaa ya Singida hiyo. Kijana kumiliki nyumba lazima wapige hodi wenyewe.
M masssaiboi JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 636 Reaction score 134 Jun 13, 2015 #26 Wenzio wauona hiyo kama hekalu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jun 14, 2015 #27 hata mimi sikutaki ebho
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,759 Reaction score 197,430 Jun 14, 2015 #28 Kila mtu na mtu wake. Wapo mademu ambao watakuja hapo. Kwa maana nyingine keshapata demu ndiyo maana hataki demu.
Kila mtu na mtu wake. Wapo mademu ambao watakuja hapo. Kwa maana nyingine keshapata demu ndiyo maana hataki demu.