Sitaki dawa

Mentor acha utoto, mpaka unafikisha umri huo bado unanyong'onyezwa na kuwa HIV+?

Ukila ARV kwa usahihi in the future unaweza kujikuta HIV- sure I can tell you. Na kilicho kizuri anayekula ARV ana % nyingi za kutosababisha STD

Please go for ARV and think on how you can fulfill your possible dreams ikiwemo kuwalea wazazi wako
 
Pole sana ila usijutie mrudie muumba wako anza upya fanya mambo mema na mazuri uzinzi uache na kaa na mtu wa kukushauri vitu vizuri vya maendeleo
 
Pole sana mkuu. Yes, ni dosari imengia katika maisha yako lakini haimaanishi ndio mwisho wa maisha.Jaribu kwenda kuongea na washauri. Ila usikate tamaa.
 
Yah inawezekana unachokisema kuna reported cases nyingi. Unakuta mume na mke wamepima, mara mmoja wao anakutwa HIV+ na mwingine -. Baada ya muda huyu mwingine anakuwa + sabb ya mwenzio kukutwa +. I think dis thing plays wid mindset. Na why tx Africa tu, mwenzetu ni kitu ambacho hata hakiwasumbui kabisa, they don't have time ya kuzungumzia HIV/AIDS. I think nahitaji ufafanuzi zaidi, on my email or PM sio mbaya..
 
Buddy, Worry out!
Ukimwi si tatizo kama unavyofikiria na usithubutu kutumia ARV's
 
Dah pole sana kama ni kweli,ukimwi upo jamani,tuwe waangalifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…