Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,854
- 236,233
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Chadema ni kundi la wahuni.. kamwe MUNGU hawezi kuwafikisha mbali ktk nchi hii
Watu gani kila wakiongea wanafoka tu wala hawasemi la maana,yaani kila ukiwasikilizaa unaona wazi kua wana uchu wa madaraka tu kutafuta mamlaka na pesa na si uchungu wa wananchi
Kutwa kucha hoja za mgombea wao ni kumsema Rais na kutuambia mambo ya risasi alizopigwa,hasemi atawafanyia nini wananchi..akijitahidi kuongea jambo analiongea ktk mlengo wa kiulaya,hapa ni Afrika,hapa ni Tanzania nchi yetu nzuri na hatuna haja na maisha ya watu wa ulaya
JPM na team yake watapita nina hakika tena kwa asilimia kubwa sana maana wananchi walio wengi walisha muelewa vzr na hawapo twitter wala jf ambako ndo ziko siasa za wahaini hawa.
Acha kuweweseka.Ndio maana nakushangaa unavowaita wenzio malofa wakati lofa na asie lofa wote wataliwa na funza, mafano mzuri ni first class lofa hatunae tena sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Andika na wewe hicho Kiingereza kama unaweza.
Ccm safari hii mnatia huruma sanaAcha kuweweseka.
Subiri funza waanze kukutafuna.Ccm safari hii mnatia huruma sana
Utatangulia wewe ukimaliza utanipa experience, au utanisaidia kumuuliza lofa experience yakeSubiri funza waanze kukutafuna.
Makamanda wengi wako intolerant kuhusu diversity of thought...Katika yote wanachoniudhi makamanda wenzangu ni pale unapikosoa chama, unaonekana kama kinyesi. Sasa sijui tutawezaje kuongoza serikali ikiwa tu hatutakiwi kukikosoa chama
Nawe mbona una hashuo kama upo mwezini..?Mbona unakisirani hivi kama Mama mjamzito wewe Nyani Ngabu
Kama ccm walivowafukuza akina membe kwa sababu walionyesha nia ya kugombea urais, malizeni ya chumbani kwenu ndio mhamie chumba cha jiraniKatika yote wanachoniudhi makamanda wenzangu ni pale unapikosoa chama, unaonekana kama kinyesi. Sasa sijui tutawezaje kuongoza serikali ikiwa tu hatutakiwi kukikosoa chama
Wengi wanaendeshwa na ushabiki wa hovyo Sana,akili wameziweka pembeniKatika yote wanachoniudhi makamanda wenzangu ni pale unapikosoa chama, unaonekana kama kinyesi. Sasa sijui tutawezaje kuongoza serikali ikiwa tu hatutakiwi kukikosoa chama
Wameshindwa kugawana pesa za ruzuku sasa wanataka wagawane za nchi.Makamanda mnawaza vyeo tu muda wote!
Hizo njaa zinawatesa sana nyie watu.
Lissu ana dharau ambayo hawezi kuitawala na huo ndio udhaifu utakaommaliza kisiasa.Kwa hiyo wewe kama hujui kingereza na ukaambiwa hujui kuna shida?
Hii bangiNaona ukabila unakutesa sana. Umeishiwa kabisa hoja sasa umeishia kutapatapa!!
Napenda kukwambia huu ndo mwisho wa huyo magufuli wako. Raisi wa Tanzania kuanzia November 2020 ni Tundu Antiphas Lissu!
Faida nikubwa sanaPumbavu kweli chadema wasiposhinda wewe unapata faida gani mbeba box
ahahaahh,hiyo kitu ni noma sanaaMwenyekiti aliteleza kutokana na hii kitu