Ningependa kuona wakosaji wote wakishughulikiwa kwa mujibu wa sheria bila kujali itikadi zao siasa.Fine!
Hata kama hayupo, bado sitaki mtu yeyote anaye imply kwamba wewe ukiwa upande wake basi utapata ‘favors’ au ‘courtesies’ flani flani ambazo wengine hawana kutokana na kutokuwa upande mmoja na wewe ki itikadi na kimtazamo.
Au wewe unasemaje?
Kama serikali inaundwa na CCM wewe hupendi kuona watu wakosaji wakishughulikiwa bila kuangalia ni wa chama gani?
Bavicha hata uweke wawe wanajifunza kwa picha hawawezi kuelewa!Bavicha vichwa vyao vipo kutenganisha masikio tu
Angalau wewe umeelezea hilo jambo kwa mantiki!Ningependa kuona wakosaji wote wakishughulikiwa kwa mujibu wa sheria bila kujali itikadi zao siasa.
Ninaona kwanini hawa '' wa Chadema'' unaosema, wamefikia hatua hiyo.
CCM na serikali yake imejenga ''bad precedent and double standards'' kiasi kwamba hakuna mwenye imani.
Mfano, ukiwa mwizi huna pesa utahukumiwa miaka, ukiwa mwizi wa pesa ndefu utahukumiwa kulipa faini!!!
Ukiwa hohehahe ukakamatwa na kucha za simba, utakula miaka. Ukiwa Mbunge na pembe za ndovu-lipa faini.
Ukienda kwa kundi kurudisha fomu za uchaguzi umevunja sheria. Mkurugenzi aliyekimbia ofisi ana udhuru!
Unapokuwa na mambo kama haya nani atakuamini hata kama unatenda kwa dhamira njema?
Kwahiyo tusiwalaumu hao vijana , tuangalie pia mistrust iliyopo katika justice system na ukweli kuwa lady hayupo
Sasa hapa unapinga au unalalamika?Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.
Kwa nini nasema hivyo?
Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.
Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.
Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.
Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.
Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.
Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.
Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?
Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.
Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.
All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.
Nafoka.Sasa hapa unapinga au unalalamika?
Pathetic.''Mkinichaguliwa Wabunge wa Upinzani hamtapa maendeleo''. ''Ninyi ....mlifanya makosa ya kumchagua....Mpinzani ndiyo maana hampati maendeleo''
''Nikuteue nikupe gari halafu umtangaze mpinzani kashinda''
Lady Justice hayupo Tz, na kama atarudi ni baada ya miaka 5.
Ok ndio mana iko zigzagNafoka.
Jamaa ameathirika na kuchambisha vikongwe.Ile mbolea imepanda kichwani!Endelea kubeba mabox Basi...au yamekua mazito
Kwanini usijikite kujibu hoja?Kwa sababu akili zake zimechanganyika na haja kubwa
Hakuwa na hoja bali ameleta kashfa na kejeliKwanini usijikite kujibu hoja?
Chukua hili hapaKama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.
Kwa nini nasema hivyo?
Kwa sababu hawa misukule wa CHADEMA ni wapumbavu kabisa.
Sijawahi kuona watu walio watupu kichwani kama hawa watu.
Katika akili [kama wanazo] zao eti huwa wanashangaa kwa nini mtu ambaye labda wao wanaona ni mwanaCCM, anakamatwa, anawekwa ndani, na kufunguliwa mashitaka.
Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.
Kama chama tawala ni CCM basi ningependa kuona hata wanachama wa CCM wavunjao sheria, wakishughulikiwa.
Hizi habari za wana CHADEMA kusema kuwa ‘unaona sasa, wakimalizana na sie, watahamia na kwenu’ ni za kijinga na kipumbavu kabisa.
Sijui wao wangekuwa madarakani wasingewashughulikia wenzao kama hao wenzao wangevunja sheria?
Hawa CHADEMA ni wapuuzi kabisa. Ni wa kupuuzwa.
Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.
All you CHADEMA fanboys and girls can go pound sand.
Lofa ni yule asiye na Sera ila kudhihaki viongozi na baadaye kujenga vioja kwa kudandia Sera zisizo za chama chake pasipo kuelewa na jinsi gani zimeibuliwa na zitatekelezwaNimesoma post naona hakuna hoja ya msingi zaidi ya ushabiki wa kisiasa!
Tuliitwa malofa na wapumbavu na Lodi Lofa lakini leo yuko futi sita itakuwa wewe Nyani.
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Chadema ni matapeli ya kisiasa safari hii tutawapeleka shule baada ya October tutaanza histotia bila hawa wahuni wa kisiasa
...hamna mtu yuko na intorerance of thought kama jiwe....wewe mkabila wa huko kwa jiwe hili unalijua lakini uko blind...kwa kuwa mmeshikwa pabaya...you are so desperate...hamkutegemea anayofanya lissu ..poleni ...Makamanda wengi wako intolerant kuhusu diversity of thought...