Haijalishi umeitunga story au ilikutokea kweli ila nakushukuru nimejifunza vitu vingi ambavyo mpaka sasa nakutana navyo kama changamoto zinazonikabiri. Thank j.j
Haijalishi umeitunga story au ilikutokea kweli ila nakushukuru nimejifunza vitu vingi ambavyo mpaka sasa nakutana navyo kama changamoto zinazonikabiri. Thank j.j
Joka jeusi my brother for sure una kipaji umekificha ndani kwa bibi nyau siku ukiweza kukitambua hizo interview hutazishobokea tena upo vizuri kwenye utungaji wewe kiumbe kuanzia Leo acha kulala endeleza kipaji chako
Dah no ndefu sijamaliza kusoma lakini naona unaumia vile kupoteza mademu (JoJo's) hapo ila hii hali ya jiwe tutaona mengi mengi mengi mengi na mwisho mengi sana ila boom vipi ilikuwa shingapi kipindi hicho