Nicholas J Clinton
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 877
- 486
Mkuu tumeshaona kuhusu Machali na Deo,tuambie kuhusu David na Felix
Ingekuwa vizuri ukatujuza, cheo chako NCCR pia kama umetia nia ya kugombea nafasi yoyote kwenye uchaguzi huu.
Sawa mkuu.lakini lakini kuna ya kuwa na intelijensia kali kama ndugu zenu.Unamuhi msaliti kabla,coz siri za Machali zilishavuja mapema,hakua hata na hadhi ya kusoma hotuba za kambi yetu> Mkuu sitaki kumsemea Mkosamali na Kafulila kama kuna aja ya kujibu watakuja kukanusha hapa.
> Mkuu sitaki kumsemea Mkosamali na Kafulila kama kuna aja ya kujibu watakuja kukanusha hapa.
Mkuu yeye ni Nicholas J Clinton, mwenyekiti wa kitengo cha vijana, NCCR, Nyamagana MwanzaKwa hiyo wewe ni Deo?? Mheshimiwa kuwa wazi, Ni muhimu kujua hawa unaowawapa huu ujumbe ndio mtaji wako.
HABARI AFRIKA;
Kuna taarifa kwa jukwaa hili za muda mrefu kuwa mimi napanga kuhamia chama kichovu cha ACT WAZALENDO kutoka chama changu cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa NCCR - Mageuzi.
Niseme wazi kuwa siwezi kuhamia kwa chama hicho na wala sikipendi kutoka moyoni waliyoenda sawa mimi nitakitumikia NCCR - Mageuzi kwa moyo wangu wote na juhudi zote.
Nimeshiba Misingi ya chama, Itikadi ya UTU, Falsafa ya Democrasia na Maendeleo na Malengo yake. Tuwe tuna uliza kabla ya uzushi wa kutunga nawapenda watu weusi daima nitawatumikia.
NCCR - MAGEUZI PAMOJA TUTASHINDA.
Hata machali alikanusha kama wewe mara ya kwanza