Sitahamia ACT - Wazalendo na siwezi kuhamia kwa chama chenye visasi na wivu wa kibino

Nicholas J Clinton

JF-Expert Member
Mar 13, 2014
877
486
HABARI AFRIKA;

Kuna taarifa kwa jukwaa hili za muda mrefu kuwa mimi napanga kuhamia chama kichovu cha ACT WAZALENDO kutoka chama changu cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa NCCR - Mageuzi.

Niseme wazi kuwa siwezi kuhamia kwa chama hicho na wala sikipendi kutoka moyoni waliyoenda sawa mimi nitakitumikia NCCR - Mageuzi kwa moyo wangu wote na juhudi zote.

Nimeshiba Misingi ya chama, Itikadi ya UTU, Falsafa ya Democrasia na Maendeleo na Malengo yake. Tuwe tuna uliza kabla ya uzushi wa kutunga nawapenda watu weusi daima nitawatumikia.

NCCR - MAGEUZI PAMOJA TUTASHINDA.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Ingekuwa vizuri ukatujuza, cheo chako NCCR pia kama umetia nia ya kugombea nafasi yoyote kwenye uchaguzi huu.
 
Mkuu Nicholas hapa unajiwakilisha mwenyewe au Mdau mwingine?? Yote kwa yote Ubarikiwe/Mbarikiwe kwa kutokubali kuyumbishwa.
 
Machali.,Mkosamali au Kafulila?Umeiweka hoja inaning'inina kama mkungu wa ndizi.
 
Ingekuwa vizuri ukatujuza, cheo chako NCCR pia kama umetia nia ya kugombea nafasi yoyote kwenye uchaguzi huu.

> Mkuu ahsante niseme tu sigombei popote nakitumikia chama kwanza kama M/Kiti wa Kitengo cha Vijana Jimbo la Nyamagana Mwanza.
 
> Mkuu sitaki kumsemea Mkosamali na Kafulila kama kuna aja ya kujibu watakuja kukanusha hapa.
Sawa mkuu.lakini lakini kuna ya kuwa na intelijensia kali kama ndugu zenu.Unamuhi msaliti kabla,coz siri za Machali zilishavuja mapema,hakua hata na hadhi ya kusoma hotuba za kambi yetu
 
Kwani we nani?

Yaani watu wakifahamika na familia zao wanaona hata mitandaoni wanawajua.

Leta taarifa iliyokamilika.
HABARI AFRIKA;

Kuna taarifa kwa jukwaa hili za muda mrefu kuwa mimi napanga kuhamia chama kichovu cha ACT WAZALENDO kutoka chama changu cha Mageuzi na Ujenzi wa Taifa NCCR - Mageuzi.

Niseme wazi kuwa siwezi kuhamia kwa chama hicho na wala sikipendi kutoka moyoni waliyoenda sawa mimi nitakitumikia NCCR - Mageuzi kwa moyo wangu wote na juhudi zote.

Nimeshiba Misingi ya chama, Itikadi ya UTU, Falsafa ya Democrasia na Maendeleo na Malengo yake. Tuwe tuna uliza kabla ya uzushi wa kutunga nawapenda watu weusi daima nitawatumikia.

NCCR - MAGEUZI PAMOJA TUTASHINDA.
 
Hongera sana Clinton kuonyesha msimamo wako lakini tumewazoea kawaida yenu hukanusha mwisho uwaona kule mliko kataa. Natumaini ata wenzako kama Kafulila na Mkosamali watoe ufafanuzi maana hamueleweki.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom