I say, jamani hii inatia uchungu!!!!
Kikwete ndio kalala fofofo!!! Kwa kweli siamini!!!
Chenge baada ya kukutwa na pesa tele bado anatamba na hakuna la kumfanya!!!
Japokuwa wengine watasema hizi ni fikra za usaliti, lakini naona wakati umefika wa kuiga yale yaliyotokea kule Philippines na kule Romania, bila ya hivyo tutafedhuliwa kila siku!!!
...... hivi silaha yetu ni ipi hasa ambayo itasaidia .........
Tujiandae kupigana!
Sidhani wale wote waliounga mkono hoja ya uchunguzi dhidi ya wabunge kuhusiana na uchukuaji wa posho mara mbili ni wapambe wa Hosea na Zitto, Kama tunataka kupiga vita Ufisadi, Wizi, Ujambazi na ukiukwaji wa maadili kwa viongozi wetu nchini Tanzania basi ufanywe kwenye ngazi zote husika, tusiweke matabaka kuwa watu fulani wanastahili kuchunguzwa na wengine hawastahili. Iwekwe mamlaka husika ambayo itafanya kazi zake kwa uadilifu na kufuata haki na sheria kuchunguza mambo yote yanayohusiana na ubadhirifu dhidi ya wabunge, bunge letu limejaa kila aina ya watu, kuna mafisadi, kuna majambazi, kuna matapeli, kuna vihiyo, kuna wapambe na pia kuna wachache ambao ni wazalendo waadilifu. Hakuna mtu aliye juu ya Sheria. Jambazi Fisadi Chenge anastahili kuwa jela hivi sasa lakini kama unavyoona bado ni mjumbe wa Kamati ya maadili ya Chama Cha Majambazi (CCM) huku watu wake ndani ya CCM wakiwa kimya na kumlinda.Sasa wapambe wa Hosea na Zitto wako wapi kusema TAKUKURU imchunguze mbunge huyu maana huu ni ufisadi kweli... lakini katika hili naona kimyaaaaa, eti TAKUKURU wanachunguza posho za wabunge na kumhoji Mwakyembe.... na ndo wanalisapoti kwa nguvu zote.....
Kweli tunacheza tu hapa na sisi wananchi tumelala.......
Sidhani wale wote waliounga mkono hoja ya uchunguzi dhidi ya wabunge kuhusiana na uchukuaji wa posho mara mbili ni wapambe wa Hosea na Zitto, Kama tunataka kupiga vita Ufisadi, Wizi, Ujambazi na ukiukwaji wa maadili kwa viongozi wetu nchini Tanzania basi ufanywe kwenye ngazi zote husika, tusiweke matabaka kuwa watu fulani wanastahili kuchunguzwa na wengine hawastahili. Iwekwe mamlaka husika ambayo itafanya kazi zake kwa uadilifu na kufuata haki na sheria kuchunguza mambo yote yanayohusiana na ubadhirifu dhidi ya wabunge, bunge letu limejaa kila aina ya watu, kuna mafisadi, kuna majambazi, kuna matapeli, kuna vihiyo, kuna wapambe na pia kuna wachache ambao ni wazalendo waadilifu. Hakuna mtu aliye juu ya Sheria. Jambazi Fisadi Chenge anastahili kuwa jela hivi sasa lakini kama unavyoona bado ni mjumbe wa Kamati ya maadili ya Chama Cha Majambazi (CCM) huku watu wake ndani ya CCM wakiwa kimya na kumlinda.
Ni sisi wenyewe wananchi wa Tanzania ndio tuna nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko, sidhani kama tunafanywa wajinga bali sisi wenyewe ndio wajinga kwa kukubali kuwachagua hawa Majambazi wa CCM katika ngazi zote katika kila chaguzi. Muelemishe ndugu, jamaa, rafiki, jirani juu ya umuhimu wa kura zao na ni jinsi gani nchi yetu itazidi kudidimia ikiwa chini ya utawala wa Chama Cha Majambazi (CCM)hapo kwenye nyekundu:
Nani mwenye uwezo wa kuhakikisha wahusika wote wanashughulikiwa bila upendeleo? Ingekuwa ni kwa nguvu yangu au yako akina Chenge, Lowasa, na wenzao wasingekuwa wanaitwa waheshimiwa leo. Lakini bado Chenge na wizi wote huo wa wazi ana nafasi ya uongozi ndani ya chama chake. Watanzania tunafanywa wajinga sana.
I say, jamani hii inatia uchungu!!!!
Kikwete ndio kalala fofofo!!! Kwa kweli siamini!!!
Chenge baada ya kukutwa na pesa tele bado anatamba na hakuna la kumfanya!!!
Japokuwa wengine watasema hizi ni fikra za usaliti, lakini naona wakati umefika wa kuiga yale yaliyotokea kule Philippines na kule Romania, bila ya hivyo tutafedhuliwa kila siku!!!
Kikwete ndiye mshitakiwa namba moja, wewe unasema Kikwete kalala, nani kasema kalala? yeye ndiye godfather mwenyewe anayewapa kichwa hawa wote.