Sitaacha kukupenda Sylvia popote pale ulipo.

Sitaacha kukupenda Sylvia popote pale ulipo.

dorge

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
239
Reaction score
368
Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania.
Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda
1000037865.png

Nilihudhuria mashindano yake mengi akiwa anagombea umiss Hadi akashinda, she is a Lady, a queen, a Cleopatra ndilo jina nililompa miaka Ile.

Namuangalia wakati wote kwa video zake, picha nk.

Alisemwa kwa.mengi mabaya kwangu Mimi she is a woman I love. Kwa sasa anawatoto na familia take somewhere I don't know here or there mungu alikupa kitu adimu sana Sylvia. A beautifulness and a wife of somebody, lucky him
 
Sasa ukahudhuria mashindano yake ulifeli wapi kumpata, ukaishia kumlia nyeto!
 
Unayempenda humpati, utaishi kwa maumivumi mpk roho inatoka..
 
Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania. Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda View attachment 3347243 Nilihudhuria mashindano yake mengi akiwa anagombea umiss Hadi akashinda, she is a Lady, a queen, a Cleopatra ndilo jina nililompa miaka Ile. Namuangalia wakati wote kwa video zake, picha nk. Alisemwa kwa.mengi mabaya kwangu Mimi she is a woman I love. Kwa sasa anawatoto na familia take somewhere I don't know here or there mungu alikupa kitu adimu sana Sylvia. A beautifulness and a wife of somebody, lucky him
 
Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania.
Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda View attachment 3347243
Nilihudhuria mashindano yake mengi akiwa anagombea umiss Hadi akashinda, she is a Lady, a queen, a Cleopatra ndilo jina nililompa miaka Ile.

Namuangalia wakati wote kwa video zake, picha nk.

Alisemwa kwa.mengi mabaya kwangu Mimi she is a woman I love. Kwa sasa anawatoto na familia take somewhere I don't know here or there mungu alikupa kitu adimu sana Sylvia. A beautifulness and a wife of somebody, lucky him
Huyo saivi ni Mbibi...2003
 
Huo ukichaa wa kupenda mtu nisiyemfahamu uliwahi kunipata miaka mingi kidogo.Ila,nashukuru,nilipelekwa Milembe nikapona.Siku ya kuondoka/graduation nikazawadiwa shuka limeandikwa "AFYA/MILEMBE.Mpaka leo nimelitandika sebuleni kama zulia.
 
Haya mambo ya kupenda hovyo wake za watu, endeleeni nayo tu. Kuna mwenzako ninamvutia tu gap. Sijajua ni kwa nini vijana mkiona vitu vizuri mnachanganyikiwa, pasipo kufahamu kuna watu wamewekeza kwa gharama kubwa.
 
Unayempenda humpati, utaishi kwa maumivumi mpk roho inatoka..
Simple trick ni kukubali, and kusahau. Si rahis inachukua muda but through kujichanganya na umbali unasahau kabisa.
Next time ukikutana nae unamuona wa kawaida
 
Back
Top Bottom