Huku ndiyo kudhalilisha utu wa wengine hivyi yuko mtu anaweza posti picha ya dada,mama,au mke wake akiwa maziwa wazi hata kama yawe mazuri namna gani!.hii ni sawa na picha ya utupu, moderator picha kama hizi muwe mnaziondoa m,ara moja zikipostiwa vinginevyo kama hamuoni umuhimu hata picha za utupu msiziondoe.
Wengi wangetamani vifua vyao vibaki hivi but unfortunately enough its too late vidonge vya uzazi abortion na vyakula vya supermarket vimeharibu kila kitu
Mkuu hakuna udhalilishaji hapo, hiyo ni desturi kabisa ya watu fulani fulani, assume umepata post ya kufanya kazi katika jamii hiyo utawanunulia nguo ili waache kubaki wazi hivyo?
Huku ndiyo kudhalilisha utu wa wengine hivyi yuko mtu anaweza posti picha ya dada,mama,au mke wake akiwa maziwa wazi hata kama yawe mazuri namna gani!.hii ni sawa na picha ya utupu, moderator picha kama hizi muwe mnaziondoa m,ara moja zikipostiwa vinginevyo kama hamuoni umuhimu hata picha za utupu msiziondoe.
kwa hiyo wewe unaona sawa kuleta hapa hii picha sikubaliani nawe, tusitumie kigezo cha desturi kudhalilisha wanawake.hebu tupia basi picha hata ya dada yako ambayo hata hayuko kifua wazi tuone kama una ujasiri huo achilia mbali kuwa uchi.