Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 83
JF ya siku hizi kazi kweli kweli!
..waache kutuzungusha hawa.
..Muungwana ameingia Ikulu kwa nguvu na pesa za MAFISADI.
..kinachopaswa kufanyika ni kumuondoa na kuleta mtu mwingine msafi asiyekuwa na mahusiano na mafisadi.
Chuma said:Nani Msafi ktk CCM?
Mwambie arekebishi kwanza matatizo chadema? speaker too high for himdawa ya kurekebisha system chafu ya Tanzania ni kuwa na waziri mkuu kutoka upinzani na speaker kutoka chama kingine cha upinzania (DR slaa atafaa sana kuwa speaker)
Mwambie arekebishi kwanza matatizo chadema? speaker too high for him
Hakuna matatizo kuna maradhichadema hakuna matatizo yoyote. utabiri wa shehe boko haramu umeshindwa kutimia.
Hakuna matatizo kuna maradhi
Inamaana mbowe na slaa wanaaguka na kuzimika ofisini? wapeleke mirembe..kwasababu huna pesa za kwenda nje. ha ha haMaradhi ya akili au ya kuanguka na kuzimika ofisini?
Inamaana mbowe na slaa wanaaguka na kuzimika ofisini? wapeleke mirembe..kwasababu huna pesa za kwenda nje. ha ha ha
Muwahishe mwenzio mbowe lakini sasa utaacha hizo ndovu za bure? wewe mlafiMirembe kote kwa nini? hii issue ya bagamoyo tu wakapungiwe na shehe kokoro hazaruni
Muwahishe mwenzio mbowe lakini sasa utaacha hizo ndovu za bure? wewe mlafi
mpeleleke kwanza tajiri yako anayekuweka mjini...line isije katika?Sio ndovu pekee, kuna mapaja mawili hapa ya kitimoto kama unataka kujaribu.
mpeleleke kwanza tajiri yako anayekuweka mjini...line isije katika?