Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,305
- 26,813
1. umasikiniMkuu umeongea mambo mazito sana na uko sahihi, watanzania ni shida aisee huwa nawaza ivi watanzania kuna mdudu gani yupo kwenye akili zetu sio wasomi au wasio soma yani ni tatizo tupu,.
huwa najiuliza ivi usomi wa mtanzania ni nini?maana huwa sioni tija ya wasomi kwenye hii nchi ,nchi hii Ina matatizo kwenye bongo za wananchi na viongozi.
Watanzania wanasikitisha sana mpaka inatia huruma tupotupo tu
Kati ya masuala ninayoyatafakari na kuona fursa waliyoipata ccm, ni kuwa, wanatawala kirahisi mno hii nchi, yaani hawaumizi vichwa wala hawana haja ya kuwajibika au kufanya kazi sana ili waongoze kwa weledi na kuleta maendeleo ya nchi. Watu wa nchi hii ni hamnazo, wamepumbazwa na kukubali kuwa wapumbavu. Wizi, uongo rushwa, ushirikina unaoendelea kila uchwao, hautoi matumaini ya mustakabali wa taifa hili hapo baadae. Kila mtu anaangalia lwake, leo anaiba wapi au nini, leo adanganye juu ya nini, achakachue wapi na nini ili siku ipite, utendaji na uwajibikaji hata wa majukumu au kazi za mtu za msingi, hakuna. Ili mtu afanye kazi yake, au awajibike na majukumu yake, basi mpe rushwa, licha ya mshahara wa bure asioufanyia kazi! WaTz ni watu wagumu mno, ni mzigo.Mkuu umeongea mambo mazito sana na uko sahihi, watanzania ni shida aisee huwa nawaza ivi watanzania kuna mdudu gani yupo kwenye akili zetu sio wasomi au wasio soma yani ni tatizo tupu
huwa najiuliza ivi usomi wa mtanzania ni nini?maana huwa sioni tija ya wasomi kwenye hii nchi ,nchi hii Ina matatizo kwenye bongo za wananchi na viongozi.
Watanzania wanasikitisha sana mpaka inatia huruma tupotupo tu
WaTz ni wajinga au si wajinga?Kwa Bahati Mbaya Sana watanzania hawana muda na Vitu Vya Msingi. Kwa sasa hivi wanawaza Kibeti kwenye match Za World Cup kuliko mambo ya msingi ya Taifa Lao. Leo ukienda vijiweni story kubwa Itakuwa jinsi Richarlison de Andrade alivyoipatia Brazili Magoli kwenye mtanange wake na Serbiajana.
Twende Sawa hapa
Ukisikiliza Ripoti hii ya ajali ya Ndege utagundua vitu vingi vinavyoongelewa ni Vya Kijinga Kuliko mambo ya Msingi.
Mfano issue ya Nani alifungua Mlango wa Ndege tunaipa airtime isiyokuwa na ulazima. Hivi kufahamu aliyefungua Mlango kunatusaidiaje kuzuia janga lingine Kama Hili lisitokee tena nchini?
Haya kamati inasema kuwa boti ya uokozi Ilikuwa Doria. Hapa ni Sawa na umemwajiri Mlinzi Nyumbani kwako halafu Wezi wanakuja wanafanikiwa Kiingia halafu Mlinzi Anakuja kukueleza kuwa nilikuwa mbali Nafanya Doria.
Wakati ajali hii inatokea nilihoji ingekuwa tumevamiwa na nchi Jirani response yetu ingekuwa hii ya Kufika eneo la tukio Baada ya Masaa zaidi ya mawili?
Najiuliza ingekuwa Ndege ile ingekuwa imembeba Mfano Rais au Waziri mkuu kwa uzembe wa Uokoaji uliojitokeza kwa hawa Raia wa kawaida tungekuja na ripoti ya kitoto Kama hii?
Rais Mwinyi Aliwahi kujiuzulu kwa sababu ya Mauaji ya Vikongwe kule Shinyanga Nilidhani katika Hili angalau tungeondoka na Wawili wapishe Nafasi Zao ili watu wengine Wajifunze. Kwa Bahati mbaya tumeilipa kamati Pesa ya kwenda kuchunguza nani Alipiga Kasia Mlango ukafunguka. Waziri naye kakaa Mahali na Anasikilia ripoti hiyo ya Mchongo naye Anaita media anatueleza mambo ya Nani alifungua mlango.
Tunasikia KABISA kuwa ndege ilishindwa Kutua Mara ya kwanza ikaondoka ikarudi hivyo hili Jambo kwa nchi zilizoseriuos na Maisha ya Raia wake lilikuwa linaepulika au wangepata MSaada wa Haraka si hii futuhi tunayoelezwa hapa ya kwamba boti ilikuwa Doria, kuwa Doria ndio Kulitakiwa kulete ufanis zaidi kwenye uokozi zaidi.
Wanatuletea ripoti ya kitoto hivi kwa kuwa wanajua tuna akili Kijiko cha chai ndio Maana. Bora Wangesema boti ilikuwa Mbovu Badala ya ilikuwa Doria sasa ni Doria gani haiwezi kutambua mambo ya Msingi Kama haya?
Kama Ndani ya umbali ambao KM haifiki kutoka nchi kavu hadi ilipokuwa ajali tunafanya madudu haya jiulize Ingetokea katikati ya ziwa huko ingekuwaje. Wanajua Majibu haya akili Za Kitropick zitayakubali kwa kuwa ni akili zisizowaza Kesho watu wa akili hizi wa Kishashiba inatosha.
Huwa nacheka sana akili hizi zinapodai katiba mpya, hata matatizo ya maji na Umeme yanaanzia Hukuhuku kwenye akili Za kuwaza kushiba tu.
Ole Mushi
0629777771.
Na nchi hii soon itakuwa kama kongoUngebadili Heading yako na kuweka neno Wapumbavu mno ningekupongeza na hata Kukutunuku Nishani ya Kutukuka.
WATANZANIA wafanye kile wanachokipenda maana nafsi zao zimechoka na mambo yanayoendelea hapa nchini. Kama wanafurahia betting, music au vinginevyo waache maana hawana namna nyingine.Kwa Bahati Mbaya Sana watanzania hawana muda na Vitu Vya Msingi. Kwa sasa hivi wanawaza Kibeti kwenye match Za World Cup kuliko mambo ya msingi ya Taifa Lao. Leo ukienda vijiweni story kubwa Itakuwa jinsi Richarlison de Andrade alivyoipatia Brazili Magoli kwenye mtanange wake na Serbiajana.
Twende Sawa hapa
Ukisikiliza Ripoti hii ya ajali ya Ndege utagundua vitu vingi vinavyoongelewa ni Vya Kijinga Kuliko mambo ya Msingi.
Mfano issue ya Nani alifungua Mlango wa Ndege tunaipa airtime isiyokuwa na ulazima. Hivi kufahamu aliyefungua Mlango kunatusaidiaje kuzuia janga lingine Kama Hili lisitokee tena nchini?
Haya kamati inasema kuwa boti ya uokozi Ilikuwa Doria. Hapa ni Sawa na umemwajiri Mlinzi Nyumbani kwako halafu Wezi wanakuja wanafanikiwa Kiingia halafu Mlinzi Anakuja kukueleza kuwa nilikuwa mbali Nafanya Doria.
Wakati ajali hii inatokea nilihoji ingekuwa tumevamiwa na nchi Jirani response yetu ingekuwa hii ya Kufika eneo la tukio Baada ya Masaa zaidi ya mawili?
Najiuliza ingekuwa Ndege ile ingekuwa imembeba Mfano Rais au Waziri mkuu kwa uzembe wa Uokoaji uliojitokeza kwa hawa Raia wa kawaida tungekuja na ripoti ya kitoto Kama hii?
Rais Mwinyi Aliwahi kujiuzulu kwa sababu ya Mauaji ya Vikongwe kule Shinyanga Nilidhani katika Hili angalau tungeondoka na Wawili wapishe Nafasi Zao ili watu wengine Wajifunze. Kwa Bahati mbaya tumeilipa kamati Pesa ya kwenda kuchunguza nani Alipiga Kasia Mlango ukafunguka. Waziri naye kakaa Mahali na Anasikilia ripoti hiyo ya Mchongo naye Anaita media anatueleza mambo ya Nani alifungua mlango.
Tunasikia KABISA kuwa ndege ilishindwa Kutua Mara ya kwanza ikaondoka ikarudi hivyo hili Jambo kwa nchi zilizoseriuos na Maisha ya Raia wake lilikuwa linaepulika au wangepata MSaada wa Haraka si hii futuhi tunayoelezwa hapa ya kwamba boti ilikuwa Doria, kuwa Doria ndio Kulitakiwa kulete ufanis zaidi kwenye uokozi zaidi.
Wanatuletea ripoti ya kitoto hivi kwa kuwa wanajua tuna akili Kijiko cha chai ndio Maana. Bora Wangesema boti ilikuwa Mbovu Badala ya ilikuwa Doria sasa ni Doria gani haiwezi kutambua mambo ya Msingi Kama haya?
Kama Ndani ya umbali ambao KM haifiki kutoka nchi kavu hadi ilipokuwa ajali tunafanya madudu haya jiulize Ingetokea katikati ya ziwa huko ingekuwaje. Wanajua Majibu haya akili Za Kitropick zitayakubali kwa kuwa ni akili zisizowaza Kesho watu wa akili hizi wa Kishashiba inatosha.
Huwa nacheka sana akili hizi zinapodai katiba mpya, hata matatizo ya maji na Umeme yanaanzia Hukuhuku kwenye akili Za kuwaza kushiba tu.
Ole Mushi
0629777771.
waTANGANYIKA wana vituko, wamenifuata INBOX wanasema ingekuwa BOTI ya CHADEMA inaenda kufanya mkutano BUKOBA ungeshangaa imekamatiwa njiani, yaani intelijensia inaona CHADEMA mapema kuliko kitu kingine chochote, watu wajinga kweli, ha ha h ahaNafikiri suala hapa ni kipaumbele cha usalama ziwani....
Lile ziwa limekuwa na ajali kadhaa kutokana na ukubwa wake, hivyo kupewa sababu eti boat MOJA ilikuwa doria haijaeleweka vizuri. Inamaana ziwa kubwa vile linalo unganisha Nchikadhaa lina boati moja ya Doria?
Soko huria, kama wewe unavyopewa PEDI za bure na serikali ya MAREKANI huku wananchi wao wakiishia kununua pedi kwa bei ghaliaHamna kitu mm kilimiuma KamA serikali nafungua mipaka chakula wakenya wanakuja wanazka KamA vyaohuku kuna vishanshuda inasema mama anaupiga mwingi so sad vyakula vinapnda bei wPinzan wanalalama bando kupanda szo sad halafu hawa wapuuz wanataka nch sasa najua kwa nn magu alikuwa anabadili mawazir KamA chupa
Rais wa kwanza wa Tz alijua ujinga unalisumbua taifa, kwamba ni wajinga. Hivyo iwekwe wazi tu ili tujue tuna vita gani.GENTAMYCIME GENTAMYCINE ameshauri niweke neno WAPUMBAVU