NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Wewe kama unaona unamuonea mke wako Uwe anatoa mahali kila mwaka utakuwa umeonyesha mfano mzuri sanaUnakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.
Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?
Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku
Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.
Ila ni mtazamo tu ba ndugu
Unakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.
Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?
Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku
Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.
Ila ni mtazamo tu ba ndugu
DuuuhIngekuwa tukishatoa hiyo ' mahari ' halafu tukiwa tunaichomeka Mikuyenge yetu tunatoka na Dhahabu au Almasi au Makinikia ningekuelewa lakini unaweza ukatoa hiyo ' mahari ' na bado kila siku tu unafululiza kwenda NAKIETE Mwenge kununua dawa za Magonjwa ya Zinaa kwani ' Mgodi ' wako wa ' Kibaiolojia ' ulioulipia siyo Wewe peke yako ndiyo unachimba ' madini ' yaliyomo humo bali unasaidiana na ' Mamanta ' wengine tena waliotukuka.
PumbaavuUnakuta unemtolea mkeo mahari ya laki tano (500,000) tu ,na ukingalia mpaka sasa mnamiaka kumi kwenye ndoa lakini bado unawivu tu.
Atii nimemtolea pesa yule mwanamke, kidume unajisifu kitaa.hivi wanawake wakiamua kukomaa na kugawanya pesa yako kwa mwaka nisawa kila siku umemtolea kiasi gani kwa huduma unayopewa?
Maana mwanamke huyo
Anakupikia
Anakuzalia watoto
Anavufua
Anakupa huduma ya usiku
Mtazamo wangu tu ilipaswa tutoe mahari kila mwaka ili kumpa thaman mwanamke. Kama tunavyolipa kodi ya serikali.
Ila ni mtazamo tu ba ndugu
Kumbe sakayo umeshaolewa dah!!.Mahari yanawafanya wanawake wawe kama watumwa fulani hivi, ingekuwa ni kuchagua mie ningekataa hayo mahari yasitolewe kwangu, huyoo baba alivyo mtata sasa!!!
Niko kwenye foleni ya ndoaniKumbe sakayo umeshaolewa dah!!.
U mean like ur not yet someone's wife?,Niko kwenye foleni ya ndoani