Sisi wanaume wa shoka hizi ndo zetu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Kiukweli mimi na msichana kiportable ni mbalimbali. I dont feel them. Naona hawana joto la kutosha. Kama umezoea kuendesha zile Trailers au Semi Trailers unapokuja kuendesha IST,VITZ au Passo hujisikii fresh.

Wanaume Rijali, Wa shoka tuna Pump Big Mammas. Machines zao zinakuwa za moto sana. Maana zimejificha flani hivi na kuundiwa joto kali sana. Unapiga hii kitu mpaka yenyewe inasema 'babe tupumzike kidogo"

Halafu ndo maumbo yetu sisi wabantu...kabla wazungu kwa sababu ya uvivu wao wa kushindwa endesha mashine zenye Turbo wakaleta habari zao za Vi portable.

Hii mizigo ni Misafi, Mitamu, Haina ulalamishi, Inajiamini, Inajua kudeka, Inajua Mapenzi.

"Leteni kwangu ninyi nyote mnaolemewa na mizigo. Nami nitawabebea"

 
Napenda kuwaangalia wakitetema.... Hebu tuwekee na ka video wakiwa wanatetema... Chi chi chi chibongeeee..... Wanatingisha minyama tuu....

Kama hawaa...??

Ila wanaume mna uthubutu aiseeh aahahahahaaa jamaa hadi mikono inauma ila kwakuwa manyama malaini aahh anavumilia. Halafu inakuwaga wanaume wanaopenda heavy duty ni wembamba.
 
Niko hapa kusoma comments za wanaume membamba sana kupitiliza,nyie ndo wapenda tipwatipwa😂😂😂😂
 
Mwanamke mwenye nyama nyama ana raha yake.
Ukimlalia unaweza ukatamani umlalie hata siku nzima.usimwachie.
Acha Kabisa.
 
Hapa si ntatolewa kwa nokauti kabisa?
 
Wembamba wa vyuma vya reli.....
 
Hizi truck mkuu zinaitaji dereva awe kimbaombao na awe ana gia kubwa ili aweze kuifikisha gari sehemu inayostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…