Sisi wanaume wa mkoa

Kamati kuu tutamjadili kesho
 
Huyo jamaa yupo sahihi juzi nimepanda daradala moja hivi inavuja hatari.
 
Huyo jirani ameshindwa kumsitiri mwenzake anaumbuka.
 
mnawacheka tu lkn wakija mjini wanatusua wanaume wa mjini inabidi kukimbilia kazi ya udalali tu
 
Huyo jamaa yupo sahihi juzi nimepanda daradala moja hivi inavuja hatari.
Mambo ya daradara achana nao. Dar kwenyew zinavuja sana. Kuna siku nilipanda daradara moja ivi, pale Fire kwenda SINZA, niliamua kushukia kituo Kagera.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…