Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 480
- 743
kajiajiri unadigri nzuri kama kweli ulielimika unaweza kufika mbali,labda kama ICT ulisoma tu kwenye vitabu bila vitendo utaendelea kulialia mtaaniMimi ni graduate wa bachelor BED'S with ICT lakini bahati mbaya ni kuwa shule nyingi za kata ambako tunategemea kwa ajili ya tempo and part time teaching ,shule nyingi hazina computer . na private nako ni wanataka mikataba mirefu ,please anyone to rescue my degree please . I am ready to work anywhere in Tz in any school offering ICT . msaada jamani tafadharini[/QUOT
Duuh! Brother neno kujiajiri ni jepesi kutamkwa kaka kwa mtu mwwnye family support and background nzuri of atleast , lakini kwa sisi beginners ambao pesa ya HESLB ndio ilikua inamlisha mama angu ,nimerudi nyumbani na smartphone tu kiukwei huo msamiati wa kujiajiri nauona mzito sana, seriously mpaka nafika hatua ya kupost hapa means I have no way to break through .on my side life is too contradicting to serve on my ownkajiajiri unadigri nzuri kama kweli ulielimika unaweza kufika mbali,labda kama ICT ulisoma tu kwenye vitabu bila vitendo utaendelea kulialia mtaani
Tupoo nyuma yako mkuu watu kama wew.... Hatujui tunakoelekea...Duuh! Brother neno kujiajiri ni jepesi kutamkwa kaka kwa mtu mwwnye family support and background nzuri of atleast , lakini kwa sisi beginners ambao pesa ya HESLB ndio ilikua inamlisha mama angu ,nimerudi nyumbani na smartphone tu kiukwei huo msamiati wa kujiajiri nauona mzito sana, seriously mpaka nafika hatua ya kupost hapa means I have no way to break through .on my side life is too contradicting to serve on my own
Promising guidance .thank youKwa walimu wenye Degree kama Yako ni rahisi sana kuajirika, tengeneza mazingira mazuri ya ww kupata Experience na hicho ulichosoma. Fanya 1. Tafuta Volunteering experience kwenye Shule, NGOs - hii inaweza kuwa Internship pia. Kuna mashirika yanataka watu wenye ICT skills. Andika Request yako ya kuvolunteer sehem inayohisi wataoffer kazi kwa badae.
Itakufanya uwe na Network ya watu wengi na kujua nini unakosa katika utafutaji wa kazi.
Partner na vijana wenzako wenye andikeni "proposal" kwenye NGOs, Serikali au private institutes namna mtakavyoweza kusaidia kupitia ICT yenu. - kiufupi jaribu kufikiria tofauti kidogo. ICT inahitajika sana sema serikali yetu bado haioni umuhimu wake. - ☠
Daunting indeedpale mtaalamu anapoamuliwa jinsi ya kuishi na mwanasiasa