Kwani una makebo?sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.
kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa.
inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya mitano, sasa ukiamua kuwa member ukaingia humu inaonekana wakuja.
" yu bela woch yua back , ifu yu giv me wans ai givu yu tripo. wi luvu awa laif".
acheni tabia ya kujibebesha uganga wa jadi na kupiga ramli humu jukwaani. mnakeraππ. mkome kuja pm kunitongoza!bumbav!
Sasa mbona na wewe umepiga ramli kwa wageni wenzako?acheni tabia ya kujibebesha uganga wa jadi na kupiga ramli humu jukwaani.
Sawa tumekuelewa kua PM yako iko wazi,ππ. mkome kuja pm kunitongoza!bumbav!
Umefoka kinyama mkuu.sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.
kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa.
inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya mitano, sasa ukiamua kuwa member ukaingia humu inaonekana wakuja.
" yu bela woch yua back , ifu yu giv me wans ai givu yu tripo. wi luvu awa laif".
uuacheni tabia ya kujibebesha afouganga wa jadi na kupiga ramli humu jukwaani. mnakeraππ. mkome kuja pm kunitongoza!bumbav!
Nilijua tu utaingia kwenye mtego,huna pesa ya kuninunua, kuwa na heshima familia...