ni kweli nasikia huwa wanaliwa...mabansa wengi huwa mapunga, sijui kwa nini...halafu amini usiamini nikwambiayo, mabansa, wapiga ngumi, makarate etc wote huwa hawafanikiwi maishani....wanaishia show tu hapo ila hawanaga hela maisha yao yote, na hawapendwi, watu wanawaogopa.