Sisi ndio wanaume bwana!

Nyie wanaume wenzangu, leo hatuna sababu ya kukutana kuuzungumzia uanaume wetu? Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kabla hata magharibi haijatwama utanikuta tayari nshapanga meza, huku Eliza akitoa huduma ya "naturaly Ordinary"
Lazima tujadili na kuuzungumzia uanamuume wetu!
Mambo ya kuitwa gume gume au marioo hapana kabisa!
 
Mzazi mbona jana ulikuwa unatetea sana leo vp au mambo ya CCM B nini?

Mkuu ndo maana nimesema akili za kuambiwa
Kila sehem na kila thread tumia au ielewe the way akili yako inavyokutuma na ifafanue the way utakavyojaliwa ufahamu na muumba wako
Usirukie mambo maana utajikuta umeangukia pua
 
Sweetlady,nimekuonesha ushahidi wa wanaume kwenye kukata kiu yenu,nasubiri uniambie tafsiri ya mahari!Halafu mbona nimetaja ngaramtoni umeng'aka au nimegusa penye upele?
 
Sasa Eiyer ndo umpe demu 10m.?
Wenzio mbona tunamega kwa bei chee tu na mama anaridhika. Kesho anakutafuta anakukopesha kabisa penzi.

Penzi la mkopo eee...riba yake ikikufika usije ukalia
 
Kisha mwanamme alivyokuwa kiumbe ajabu, kwa kuwa kitu chake ndo akitoe meno! Ndo maana hatuendelei Waafrika. Tunza chako ili uache kutamani cha wenzako
Wape wape vidonge vyao.

Source: Bishanga.
 
Kabla hata magharibi haijatwama utanikuta tayari nshapanga meza, huku Eliza akitoa huduma ya "naturaly Ordinary"
Lazima tujadili na kuuzungumzia uanamuume wetu!
Mambo ya kuitwa gume gume au marioo hapana kabisa!
Ewaaaaaaaaaa sisi ndio wanaume bana.......... weeeuuuweeeeee!

Hakuna wanaume hovyo..... mwambieni Bishanga atutake radhi!
 
Kwamba Mimi ni MALI ya nani?! Hapana Babu naomba nikaidi kidogo. Hizi kauli za hivi ndizo zile zinazopelekea mwanamke akae kimya akigundua au jua kuwa mwanaume (ambaye naye ni mali yake) anacheat. Kuwa yeye ni mali ya mwanaume ila mwanaume si mali yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…