mtoa mada bwana!! as if mtu amebisha, mbona kila mtu anajua dunia hii ina jinsia mbili tuu ke ma me, sasa cha kutunisha misuli ni nini? zaidi sana pointi uloyoisisitiza ni kuwa na mpango pembeni ambao si kila dume anaufagilia usijikute unalazimisha watu vitu ambavyo wala hawavifagilii eti kisa ni mwanaume lol!