Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 748
[emoji23] [emoji23] [emoji23]huyu docta kila nikimwangalia naanza kucheka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 627727
ukiwa na mabilion haijalishAlikuwa kavaa sendo chini
Naongeza hamsini. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Dr shika umejua kutuacha hoiMia tisa itapendeza
Simtetei au kumsifia,ila niweke wazi hili, ila sisi tusio jua kuvaa hayo mavazi mnayoyasujudu tunadhataulika sana! Niliwahi kushuhudia nanyimwa huduma mahali ya msosi kisa kaptula yangu na viatu vya wazi,tulibishana wee mpaka nikahudumiwa na meneja,ishu ikaja kwamba kila nilicho agiza nilipie kwanza,sikuwa na namna maana ndio sehemu pekee kulikuwa na huduma hiyo,nikalipia forty something tsh wakashangangaa,nikaanza kujipongeza na black label wakashangaa,nikaona wanazidi kunichingulia kwenye vikona kona vyao ikabidi niondoke na chupa nzima nalo hili waliniambia ngoja tumuulize meneja! Hapa tuna upungufu wa customer care na kutojithamini sisi kwa sisi angekuwa mzungu hapo ungesikia wanamsifia jamaa linahela na liko simple tu! Tuache dharau kuna watu wazawa wako wako tu lakini ukichungulia account zao unakufa! Sidhani hata kama huyu mzee Kama kweli alikuwa na interest ya kununua huenda akapotezea!huyu docta kila nikimwangalia naanza kucheka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 627727
Rais wa kiwanda cha chemical huko urusi huyo. Anasema anataka kuhamia nchini hivyo kitu cha kwanza ni kuwa na sehemu nzuri ya kuishi.Man of the year, yani mm ndo kanifurahisha sana huyu mshikaji! Usikute hata account tu bank hana...ila anajua kupandisha bei hadi raha, wenzake wanapandisha miliom kumi yeye akitamka ni 50 au 100milion, wale wenzie wakawa wanakuwa wapole tu...hahaa
Huyu Dr noma sana. Sijui amesomea nini?Naongeza hamsini. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Dr shika umejua kutuacha hoi
hebu toa uswahili wako hapa........MATAJIRI WENGNE WANAVAA OVYO NA KULA OVYO SYO KWA KUPENDA, ILA MASHARTI YA WAGANGA WA KIENYEJI. HAWA SFA YAO NI KUWA NA HELA ILA ASITUMIE HELA KWA UHURU. NA HAWA TUNAO WENG TU AFRIKA
Na Huo Ndio Ukweli Kama Hutaki Wewe Ni Mmoja Waohebu toa uswahili wako hapa........
Mkuu,nipo jijini Mwanza na matajir wa namna hyo wapo wengi sana!MATAJIRI WENGNE WANAVAA OVYO NA KULA OVYO SYO KWA KUPENDA, ILA MASHARTI YA WAGANGA WA KIENYEJI. HAWA SFA YAO NI KUWA NA HELA ILA ASITUMIE HELA KWA UHURU. NA HAWA TUNAO WENG TU AFRIKA