“Sisi kwa sisi tujilinde”

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,891
Reaction score
4,586
Matukio ya utekaji na mauaji yamekithiri

Hakuna mtanzania aliye salama kwa sasa na wala hakuna wakutulinda maana wenye dhamana wamedhihirika hakuna wakututetea

Ninawiwa kuanzisha kampeni ya “SISI KWA SISI TUJILINDE” ili angalau tujitetee wenyewe,pasitokee mtu akachukuliwa mbele Za watu kihuni halafu waliopo jirani wanamuangalia tu.

Kwa wanaojua istilahi Za uhalifu mpaka sasa kila mtu ni target,sasa isijetokea hapo JF mtu anachukuliwa na watu kihuni mkaangalia tu hapana,kabilianeni nao,jilindeni ninyi kwa ninyi.

Isije ikatokea katika kijiweni cha mzee Mshana Jr na wazee wenzake wakaja kumchukua mzee mmoja wapo mkaacha aende,wakabilini.

SISI KWA SISI TUJILINDE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…