A
Anonymous
Guest
Sisi Ajira mpya Morogoro DC mpaka leo hatujalipwa hela za kujikimu na tunamaliza mwaka kazini pamoja na maelekezo ya waziri TAMISEMI, bado maafisa Utumishi wamegoma.
Naomba mtupazie sauti ifike Serikali Kuu wajue Watumishi tunalia huku.
Naomba mtupazie sauti ifike Serikali Kuu wajue Watumishi tunalia huku.