RESOLVED Nilisoma PhD OUT, nilikumbana na changamoto hizi...

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Status
Not open for further replies.
Mimi sijasoma ila OUT nilikiweka kwenye level ya vyuo kama Veta tu kitambo sana ngoja niwasikilize wasomi wanasemaje yaani mtu unatoa hela usome OUT au wamebadilika sasa hivi.
 
Mimi sijasoma ila OUT nilikiweka kwenye level ya vyuo kama Veta tu kitambo sana ngoja niwasikilize wasomi wanasemaje yaani mtu unatoa hela usome OUT au wamebadilika sasa hivi.
pia changamoto vyuo vikubwa kama UDOM,UDSM havina PhD ya full online kama vyuo vya ulaya hata ya bila coursework utatakiwa kuattend tu chuo vyote hata ESAMI wana masters lakini 16M au zaidi kama ada tu
 
Kuna vyuo vizuri tu hapa afrika mashariki kwa kozi za phd
1. Udsm
2. Mzumbe
3. Makerere
4. Kampala international university kwa upande wa uganda
5. Egerton

Vyuo vikongwe vya kenya ni bora tatzo sasa "ada" maji utayaita jiii..
Lakn uganda ni the best na ada ni ya chini , tena hawana ukiritimba wa kipuuzi kwa postgraduate.
 
mkuu hivi ni vyote lazima uende chuo na sio online lakini vingine ndio vinapigiwa kelele ya usumbufu
 
Huwa nashangaa inakuaje mtu ana PHD haihusiani mambo ya utabibu ila anaitwa Dr et🤔
Nani alikwambia ili uwe Doctor lazima usomee utabibu?

Hata aliyesoma utabibu haitwi Doctor tu anaitwa Medicine Doctor na aliyesomea PhD ya sheria ataitwa Doctor of Law vivyo hivyo kada zingine.
 
Ndiko alikosoma BALILE?
Ndio maaanaaa!
 
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…