Sirudii tena!!

Wewe bado ni mwanachama wetu (CHAMATA-Chama Cha Mabaharia Tanzania) mtiifu,endelea kukitumikia chama vzr hizo changamoto zichukukie kuwa ni mawimbi madogo sana!
Mimi sio BAHARIA mkuu tafsiri yaneno BAHARIA sio nzuriii
 
Poleee saana...
Pamoja na ukongwe tulionao wenzako wanatufikisha vizuuuri tuu...
Shida iko kwako tena kuuubwa...Jitathmini upya.
Wanakufiksha zaidi yamara moja?
 
Hahahaha sinema lingine hili

Kwanza hili ni muvi la kutunga ila itabidi tulitizame hivyo hivyo

Pili mcheza muvi wetu ni mgonjwa wa ukosefu wa nguvu za kiume lazima ajibanze kwa watoto maana wao hawajui tofauti ya wazima na wagonjwa

Tatu aandae remote ya kupause umri wake na wa mkewe

Nne wanawake hatubabaishwi na hivi vinuka mkojo, hela nitafute na kunikojoza ushindwe lazima nikutoe baru tu hamna namna

Tano akamuone daktari

Mdogo wangu we nae ndo nini kunipovusha hivi natumai sinema umelielewa hivyo hivyo
kapeace njoo huku Dada [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo futa uzi huu unajiumbua! Tatizo liko kwako. Uko incompetent zuia Aibu yako!
 
Mkuu unafeli pakubwa mno,
Age na kukojoa **** mahusiano gani sasa??
 
This is a stupid uzi, hao wadogo si wanakua!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana ulivyojitoa kwenye ubaharia...btw ulivyosikia wakubwa wanafaidi ulijua ni kama kuendesha baiskeli kwenye mteremko eee...shughuli za kikubwa utakuja kufa mdogoangu we komaa na size yako waachie wakubwa wajilie vyao.
 
Sasa kumbe na sisi wanavyotuambiaga vijana wa umri wenu wanaijua shughuli kumbe hamna kitu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ nimekuita tu uje kumsaidia huyu baharia chipukizi na movie yake ya kibongo

Hahaha nimecheka hapo kwenye kujibanza kwa watotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba ngoma nzito haziwezi afanye tu kutulia asubiri umri ukimruhusu.
Cha mwisho mtoa mada akomae na size zake
 
Nimekubali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utoto raha sana.
 
Dogo futa uzi huu unajiumbua! Tatizo liko kwako. Uko incompetent zuia Aibu yako!
Sifuti, alafu broo me nipo vzr darasani endapo kama kitabu kikiwa kinasomeka vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…