Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,783
- 61,449
Nitarudi kama yule mzee atashinda uko usMjini utarudi tu ngoja njanuary ianze.
Mjini utarudi tu ngoja njanuary ianze.
Ndio nakuambia mjini utarudi tu na usiporudi utarudishwaKuanzia tarehe 3 januari, watu huwa kama wamechanganikiwa; mambo yanakuwa mengi, mara ada, kulipa kodi ya pango, kufukuzwa kazi n.k Ila huku kijijini kuna unafuu mkubwa.
TrumpNitarudi kama yule mzee atashinda uko us
Kwa mazingira haya sitotamani kurudi mkuuNdio nakuambia mjini utarudi tu na usiporudi utarudishwa
Tusubiri matokeoTrump
Nawe tunakukaribisha kijijini, upate hewa safiDah enjoy liife, mkuu
Kila la kheri
NajipangaNawe tunakukaribisha kijijini, upate hewa safi
Wazee wa zamani huku hawapo, kile kizazi kilishapotea; huku ni kupata hewa safi tu ata kama huna hela.Ukirogwa utarudi mjini bila taarifa.
Ndio kijiji gani hicho?Buzi, Kata ya Kaagya,Tarafa ya Bugabo
Alafu naskia kanga ni watamu sana hasa wakichomwa, nitumie mmoja mkuu
🤣🤣🤣🤣🙌Nataka kuoa mke wa tatu..
Kuna wanawake wenye hali nzuri (wasiotumika sana)??
Maana huku mjini wengi wametumika hadi ladha ya papuchi hakuna tena..
Hakuna wasiojulikanaWananzengo, habari?
Disemba ndio hiyo tunaikaribia, ikiambatana na sikukuu mbali mbali za mwisho wa mwaka.
Mimi niliyetangulia huku kijijini, shamra shamra ni nyingi sana; nipo huku na mama watoto tukiangalia mimea ilivyochanua huku ikiangusha maua yake, kwa mbali milio mbali mbali ya ndege ikituburudisha.
Kweli maisha ya huku kijijini ni raha, ni kama tuko kwenye bustani ya edeni; kula mapapai bure, machungwa bure, parachichi bure, yaani kila tunda ni bure.
Achilia mbali, watu wa huku wana hofu ya Mungu; hawana lugha za utapeli utapeli kama wa huko mjini, hakuna kupigana mizinga wala kuhonga.
Haloo, mimi sirudi mjini, na mwezi wa disemba ukifika sitopatikana kwenye simu wananzengo, nitakuwa bize kwenye kucheza sindimba..
Karibuni kijijini.
View attachment 3143672
Unaweza kubahatisha ukitembelea kijiji cha wagagagigikokoNataka kuoa mke wa tatu..
Kuna wanawake wenye hali nzuri (wasiotumika sana)??
Maana huku mjini wengi wametumika hadi ladha ya papuchi hakuna tena..