Sirro aelezea sababu ya kumkamata Tundu Lissu, na matokeo ya Operesheni nyingine

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,940
19,130
Sirro pia amedai sababu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu ni kuwa alitakiwa kuripoti mahakamani lakini hakaufanya hivyo na ikabidi wamfuate Dodoma na kumleta Dar

Kamanda Simon Sirro amewatia mbaroni watu 15 ambao wameendelea kuishi mabondeni kipindi hiki cha mvua na kukaidi amri iliyotolewa ya kuhama
watu hao watabomolewa nyumba zao na watapandishwa kizimbani, operesheni bado inaendelea,

Hv Kamanda Siro huoni kwamba ni wakati wako wa kujidai na ww? Kamata yule mtuhumiwa weka central hapo!

Mtu anatamba mtaani kumbe hana cheti!

Halafu alimtuhumu kuwa kavuta M5 za wauza shisha.
Sirro pia amedai sababu ya kukamatwa kwa Tundu Lissu ni kuwa alitakiwa kuripoti mahakamani lakini hakaufanya hivyo na ikabidi wamfuate Dodoma na kumleta Dar

Kamanda Simon Sirro amewatia mbaroni watu 15 ambao wameendelea kuishi mabondeni kipindi hiki cha mvua na kukaidi amri iliyotolewa ya kuhama
watu hao watabomolewa nyumba zao na watapandishwa kizimbani, operesheni bado inaendelea,

Mara ya kwanza kamanda Sirro alikataa kupelekeshwa na mkuu,mfano suala la shisha akajua ni la kisiasa halitafanikiwa.Bashite akamsemea kwa waziri mkuu,so jamaa akaona hapa nitapoteza kitumbua changu,akapna afanye kazi kwa kufuata upepo wa kisiasa na amri kama kazi yake inavyotaka kufuata amri
 
Kamanda cv yako inashuka... ile heshima uliyokuwa nayo mwanzo inashuka.
I know you... ww ni moja ya maafisa wasomi na wenye weled wa kazi..
waliojuu yako wanakutumia vibaya
 
Kamanda siro siasa inakuharibia status yako, mambo mengine uwe unajiongeza usipende kutumiwa na watu wenye decision zero
 
ajabu tukivamiwa polisi hawana mafuta ILA mafuta ya kwenda dodoma kumchukua Lissu aje kupewa dhamana Dar yapo!! Ajabu Sana. vinyongo,chuki na visasi vimetawala utadhani serikali ya kikoloni tena mjerumani alotutesa...tutafungwa saana tu but haki itapatikana siku moja
 
Katika watu waliopigiwa kampeni humu jf ili rais mpya awape kazi ni mahiga,ndalichako na huyu siro.

Wakati mahiga utendaji kazi wake si mbaya sana kivile,

ndalichako yeye inaonekana kama kalewa lewa madaraka na kaunafiki kwa mbali,

huyu siro japo sikumuunga mkono,lakini alionekana labda atadeliver.
Lakini wapi?
 
Sirro anatia huruma kwa kweli. Anabehave kibashitebashite hivi. Sasa wamegain nini kumfuata Lissu mpaka Dodoma? Sana sana wamemuongezea sifa tu na kumpa kiki kwenye uchaguzi wa urais wa TLS
 
Back
Top Bottom